young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

    Match Day CAF Champion League Young Africans SC VS CBE SA 2nd Preliminary round 2nd Leg Stadium: New Amani Stadium Zanzibar Date: 21-09-204 Time 8:30pm EAT Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
  2. JamiiForums Tanzania Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  3. JamiiForums Tanzania FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

    Jumapili hii, wananchi Yanga SC watakuwa dimbani tena katika Kombe la Toyota wakicheza na Kaizer Chiefs ya kocha Nasreddine Nabi. ---- Kikosi cha Yanga kinachoanza 5' Keiza 0 - 0 Yanga 10' Keiza 0 - 0 Yanga 15' Keiza 0 - 0 Yanga 20' Keiza 0 - 0 Yanga 25' Goooooal Dubeee 25' Keiza 0 - 1...
  4. JamiiForums Tanzania FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

    Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni PIA SOMA - Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup Kikosi cha Yanga kilichoanza
  5. B

    JamiiForums Tanzania Toyota Cup 2024 Launch: Q&A with Jessica Motaung & Hersi Said | Kaizer Chiefs | Young Africans

    https://m.youtube.com/watch?v=1weIrkCNRgw SuperSport presenter Thabiso Tema chats to Kaizer Chiefs Marketing and Commercial Director Jessica Motaung and Young Africans President Hersi A. Said ahead of the inaugural Toyota Cup between Kaizer Chiefs and Tanzania's Young Africans at the Toyota...
  6. JamiiForums Tanzania Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

    Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans. Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka. Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania 2024 BEST PERFORMING TEAMS IN AFRICA- YOUNG AFRICANS NO 3

    ๐Ÿ† ๐Ÿ… ๐Ÿฅ‡
  8. JamiiForums Tanzania Feitoto wakati unatunyamazisha Wana Dar Young Africans Kiukweli Ulifanikiwa, Ila Kiko Wapi?

    Habari za wakati huu. Jana tumeshuhudia mpira mzuri kutoka kwa timu zetu mbili bora zinazoenda kuwakilisha kimataifa CAF Champions League Msimu Wa 2024/2025. Young Africans aliibuka mshindi dhidi ya Azam Fc wa kombe la CRDB Bank Federation Cup 2023/2024 kwa mikwaju ya penalty. Sasa turudi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Total Dominance of Young Africans 2023/2024 Season

    Yanga ya Gamondi ime-dominate kwa 98% kwenye kila takwimu nzuri 23|24 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐—Ÿ๐—ถ๐—ด๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ โ—‰ Champions - Yanga SC ๐Ÿ† โ—‰ Timu yenye kadi chache - Yanga SC โ—‰ Timu yenye on target nyingi - Yanga. โ—‰ Timu yenye mchezaji bora wa mwezi mara nyingi - Yanga (Stephane Aziz Ki ร—4) โ—‰ Hat-trick nyingi...
  10. JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Bara Young Africans sc watinga bungeni

    Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23, 2024 ambapo aliwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2024/25...
  11. JamiiForums Tanzania Request For Proposals To Provide Consultancy Services at Young Africans Sports Club (โ€œYangaโ€) May, 2024

    Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (โ€œYangaโ€) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. Renowned fort its historical success, the club has secured a...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡ ๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CRDBBankFederationCup โšฝ๏ธ Ihefu SC๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 19.05.2024 ๐ŸŸ Sheikh Amri Abeid ๐Ÿ•– 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 Yanga SC wanafanya shambulizi Dakika ya 10 Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0 Dakika ya 15 0-0...
  13. JamiiForums Tanzania Young Africans inaweza kucheza mpira hata kwenye moto

    Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye Mazingira Yote Na Matokeo Yanakuwa Mazuri. Kwenye Jua Mtu Anapigwa, Kwenye Mvua Mtu Anapigwa, Kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

    Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC โœ๏ธ. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda). Sasa ipo hivi, kutokana na...
  15. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐”๐๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CRDBFederationCup โšฝ๏ธ Dodoma Jiji๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 10.04.2024 ๐ŸŸ Jamhuri, Dodoma ๐Ÿ•– 2:00 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika 3 goallllllllll...
  16. JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  18. JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  19. JamiiForums Tanzania Some facts you don't know about Young Africans

    1.Its called team of citizens "timu ya wananchi" because its owned by fans (51% shareholding). 2. Its most popular team in Tanzania with huge fan base approx more than 35 millions fans that are recognized 3.Team is under managerial transition process which is supervised by laliga. Soon team...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. ๐ŸŒŸ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ