young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  2. JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Young Africans yasogezwa mbele

    Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza Kila la heri timu ya wananchi Yanga bingwa
  3. JamiiForums Tanzania Yanga SC 3-1 Coastal Union | CRDB Federation Cup | 12.03.2025 | KMC Complex | 10:00 Jioni

    Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga. Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya? Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
  4. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Singida Black Stars

    Mchezo ulikuwa mzuri, ukitawaliwa na mbinu za coaches Coach Ouma wa SBS alikuja na mbinu Bora, alianza na viungo wagumu kama Nashoni na kujipa muda wa kuimaliza mechi kipindi cha pili Wasiojuwa mpira yaani mbumbumbu wanasema ati ameanzisha timu dhaifu Goal keeper Mwasalanga alitoka Tabora...
  5. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya JKT TANZANIA vs Young Africans

    Mechi ilikuwa nzuri Nampongeza coach wa JKT Tanzania ametupa mechi nzuri Hii inathibitisha ubora wa ligi Nampongeza mwamzi Arajiga, ameonyesha tofauti na waamzi wengine Coach hakuifanyia tathmini nzuri timu ya JKT Tanzania kuwa ni wazuiaji wazuri na wanacheza physical game akaamua kuanza na...
  6. JamiiForums Tanzania FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
  7. JamiiForums Tanzania Match Analysis: Young Africans SC vs. MC Alger

    FT: 0-0 Takwimu Possession: Hapa Yanga wali-dominated umiliki wa mpira kwa asilimia (69%) wakati MC Alger (31%). Mashuti: Yanga walikuwa na mashuti 18 wakati MC Alger's 3, Lakini hakuna lililozaa goli. Big Chances: Yanga walitengeneza nafasi 1 kubwa ya kufunga, wakati MC Alger...
  8. JamiiForums Tanzania Jonathan Ikangalombo atambulishwa rasmi Young Africans SC

    Mchezaji aliyekuwa akicheza AS Vita club na timu ya taifa ya Congo DRC kama winga ya kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela ametua rasmi kwa wananchi, Young Africans SC. Soma Pia: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025
  9. JamiiForums Tanzania Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

    Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC) Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi...
  10. JamiiForums Tanzania FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† TotalEnergiesCAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šTP Mazembe πŸ“† 04.01.2025 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 4PM (EAT) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko 05’ | #CAFCL Yanga SC 0-0 TP Mazembe 25’ | #CAFCL Yanga SC 0-1 TP Mazembe 35’ | #CAFCL Yanga SC 1-1 TP Mazembe MAPMZIKO| #CAFCL HT: Yanga SC...
  11. JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans 4 - 0 Tanzania Prisons | NBC premier league | KMC Complex| Disemba 22, 2024

    Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama wajela jela. Timu ya Young Africans inajitafuta kurudi kwenye makali yake baada ya kupata vipigo...
  12. JamiiForums Tanzania FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ TP MazembeπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 14.12.2024 🏟 Stade TP Mazembe πŸ•– 3pmπŸ‡¨πŸ‡©4pmπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe Mpira umeanza Dakika ya 2 Yanga Sc wanafanya mashambulizi Dakika ya 9 TP mazembe wanafanya mashambulizi Dakika ya...
  13. JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAl Hilal πŸ“† 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAzam FC πŸ“† 02.11.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0-1 Young Africans SC | NBC Premier League | New Amaan Complex | 30.10.2024

    ⚽️ Singida BSπŸ†šYoung Africans SC πŸ“† 30.10.2024 🏟 New Amaan Complex πŸ•– 8:30 PM Kikosi kinachoanza dhidi ya Singida Black Stars Sc Mpira umeanza Dakika ya 2 Sbs 0- 0 yng Dakika ya 3 Boka amefanyiwa madhambi Dakika 6 Mabadiliko katoka boka kaingia kibabage Dakika ya 15 Yanga wanafanya...
  19. JamiiForums Tanzania Usajili wa Clotus Chama kwa yanga hadi sasa hauna tija yoyote

    Kama umekua ukifatilia mechi za yanga sc msimu huu wa mashindano , nadhan utakua umeona kiwango cha mchezaji Clotus Chama . Kwangu mimi naona hadi sasa Chama hana mchango mkubwa kwenye pitch , maana kwa nilivoona kwenye mechi ambazo amecheza inaonekana energy yake ishashuka kabisa, ila kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Alichoandika George Ambangile YOUNG AFRICANS 6-0 CBE (7-0)Agg

    ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE. . . ✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa 1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira 2: Aggressive ( matumizi ya nguvu katika sehemu sahihi ) 3: Kushinda mipambano yao ( win duels ) 4: Recovery runs + Counter...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…