yemen

Yemen ( (listen); Arabic: ٱلْيَمَن‎, romanized: al-Yaman), sometimes spelled Yaman, officially the Republic of Yemen (Arabic: ٱلْجُمْهُورِيَّة ٱلْيَمَنِيَّة‎, romanized: al-Jumhūrīyah al-Yamanīyah, literally "Yemeni Republic"), is a country at the southern end of the Arabian Peninsula in Western Asia. It is the second-largest Arab sovereign state in the peninsula, occupying 527,970 square kilometres (203,850 square miles). The coastline stretches for about 2,000 kilometres (1,200 miles). It is bordered by Saudi Arabia to the north, the Red Sea to the west, the Gulf of Aden and Guardafui Channel to the south, and the Arabian Sea and Oman to the east. Yemen's territory encompasses more than 200 islands, including Socotra, one of the largest islands in the Middle East. Yemen is a member of the Arab League, United Nations, Non-Aligned Movement and the Organisation of Islamic Cooperation.
Yemen's constitutionally stated capital is the city of Sana'a, but the city has been under Houthi rebel control since February 2015. Yemen is a developing country and in 2019 the United Nations reported that Yemen is the country with the most people in need of humanitarian aid with 24.1 million people in need.In ancient times, Yemen was the home of the Sabaeans, a trading state that flourished for over a thousand years and included parts of modern-day Ethiopia and Eritrea. In 275 CE, the region came under the rule of the later Jewish-influenced Himyarite Kingdom. Christianity arrived in the fourth century. Islam spread quickly in the seventh century and Yemenite troops were crucial in the early Islamic conquests. Administration of Yemen has long been notoriously difficult. Several dynasties emerged from the ninth to 16th centuries, the Rasulid dynasty being the strongest and most prosperous. The country was divided between the Ottoman and British empires in the early twentieth century. The Zaydi Mutawakkilite Kingdom of Yemen was established after World War I in North Yemen before the creation of the Yemen Arab Republic in 1962. South Yemen remained a British protectorate known as the Aden Protectorate until 1967 when it became an independent state and later, a Marxist-Leninist state. The two Yemeni states united to form the modern Republic of Yemen (al-Jumhūrīyah al-Yamanīyah) in 1990. President Ali Abdullah Saleh was the first president of the new republic until his resignation in 2012. His rule has been described as a kleptocracy.Since 2011, Yemen has been in a state of political crisis starting with street protests against poverty, unemployment, corruption, and president Saleh's plan to amend Yemen's constitution and eliminate the presidential term limit, in effect making him president for life. President Saleh stepped down and the powers of the presidency were transferred to Vice President Abdrabbuh Mansur Hadi, who was formally elected president on 21 February 2012 in a one-candidate election. The total absence of central government during this transition process exacerbated several clashes on-going in the country, like the armed conflict between the Houthi rebels of Ansar Allah militia and the al-Islah forces, as well as the al-Qaeda insurgency. In September 2014, the Houthis took over Sana'a with the help of the ousted president Saleh, later declaring themselves the national government after a coup d'état; Saleh was shot dead by a sniper in Sana'a in December 2017. This resulted in a new civil war and a Saudi-led military intervention aimed at restoring Hadi's government. At least 56,000 civilians and combatants have been killed in armed violence in Yemen since January 2016.The conflict has resulted in a famine affecting 17 million people. The lack of safe drinking water, caused by depleted aquifers and the destruction of the country's water infrastructure, has also caused the largest, fastest-spreading cholera outbreak in modern history, with the number of suspected cases exceeding 994,751. Over 2,226 people have died since the outbreak began to spread rapidly at the end of April 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Wahouth huko Yemen wanachapika ipasavyo!!

    Yemen: 6 waliuawa na 26 kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga ya Marekani usiku Ndege za kivita za Marekani ziliendelea kushambulia maeneo ya Wahouthi nchini Yemen usiku kucha. Moja ya shambulizi mashuhuri lilikuwa kwenye "Kiwanda cha Keramik cha Al-Suwari" katika Wilaya ya Bani Matar...
  2. Houthi wana pesa ya kurusha makombora ila hawana ya pesa ya kuponesha vidonda kutokana maasi waliofanya Yemen.

    Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa. AKILI UOZO.
  3. Whouth huko Yemen usiku huu tuwaombee sana!!

    Usiku huu huko Yemen Houth wanapata kipigo cha mbwa-koko kutoka kwa mashambulizi ya ndege za kijeshi za Marekani hivyo tuwaombee tu ujinga uwalone wa kuingilia ugomvi usiowahusu huko Gaza.
  4. Kiama kwa Houthi, Yemen inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia hayo maeneo ya Houthi

    Hawa magaidi wa waislamu siku zao zinakaribia mwisho, huku Marekani wakipiga kwa angani, Yemen nayo inaandaa wanajeshi 80,000 kuingia kwenye mpambano wa nyumba kwa nyumba. Japo Yemen wenyewe pia ni waislamu ila kidogo ni nafuu maana ni serikali halali hivyo yenyewe itapunguza maugaidi...
  5. Huko Yemen magaidi wa Ki-houthi wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani

    Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema “ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
  6. Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

  7. A

    US wamenza kulia Yemen wanataka nchi ziungane kuwapiga Yemen (Al Houthi ) si alijidai mwamba huyu Trump

    Tuliwambia Yemen huwa hashindwi vita, US ameanza omba nchi zingine wawasaide kupambana na Yemen ( Al Houthi ) https://youtu.be/zggM6Zu3ZYs?si=-bVmlSCOBTuYN7nq
  8. Baada ya majeshi ya Marekani kushusha kipondo cha kufa mtu huko kwa wahouthi Iran asalimu amri kuondoka huko Yemen

    Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji...
  9. Trump aelezea kipondo wanachopata magaidi wa ki -houth huko yemen!!

    Magaidi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wameangamia kutokana na mashambulizi makali katika muda wa wiki mbili zilizopita. Wapiganaji na Viongozi wao wengi hawapo nasi tena. Tunawapiga kila mchana na usiku - kwa ngumu zaidi na zaidi. Uwezo wao unaotishia Meli Katika eneo hilo unaharibiwa kwa...
  10. Kwanini nchi za Kiarabu hazitaki kuwasaidia Waarabu na Waislamu wenzao Wapalestina?

    Peace, Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao. Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
  11. Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

    Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi. A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen: Houthi targeted E2 command and...
  12. Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

  13. Houth wazichakaza meli za kivita za Marekani na maeneo kadhaa ya Israel punde tu baada ya kushambuliwa maeneo kadhaa ya Yemen

    Meli za kivita za Marekani zinazoongozwa na HSS Harry Truman zimepigwa na makobora kadhaa kutoka kwa wanamgambo wa Houth sambamba na kushambuliwa kwa maaeneo kadhaa ndani ya Israel ikiwemo Jerusalem. Muda mfupi tu tangu pale mashambulio makali kutoka angani kupiga maeneo ya Saada ya Yemen na...
  14. Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  15. U

    Kombora la masafa lililorushwa kutoka Yemen ladondoka Saud Arabia badala ya Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu anazidi kuipigania Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel:: A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at Israel, fell short in Saudi Arabia, according to a defense source. The missile was identified by...
  16. Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  17. Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

    Baada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen. Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari...
  18. Donald Trump mambo magumu Yemen . Aiangushia lawama Iran na kuapa kuchukua hatua Kali dhidi ya Iran

    Baada ya masaa 36 ya mashambulizi ya kulipizana kisasi. Donald Trump amekuja na mpya Leo anasema mashambulizi yeyote yatakayofanywa na houth kuanzia sasa atachukulia ni Iran imehusika kuanzia silaha , intelijensia n.k. Hivi huyu trump kama Yemen wanamtoa jasho atawaweza Iran?
  19. Marekani kuendelea kushambulia Houthis wa Yemen, Houthi wakiri kuuawa kwa Watu wao 53. Marekani yadungua Drones 11 za Houthi

    Baada ya shambulio la tarehe 15 March 2025 la ndege za Marekani dhidi ya wapiganaji wa Houthi huko Yemen, na kusababisha vifo vya watu 53, na mamia kujeruhiwa, tarehe 11 March, wapiganaji wa Houthi walirusha drones 11 na kombora 1. Drones 11 zote zilidunguliwa kabla ya kuzifikia meli za...
  20. Yemen bila hofu yajibu mapigo ya Marekani kwa kushambulia meli zake za kivita

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema Marekani na Israel zimechanganyikiwa baada ya kuona nchi za kiarabu zikiungana dhidi yao, Tamko hilo amelitoa baada ya wanajeshi wa Houth kuzishambulia meli za kivita zinazoongozwa na meli ya USS Harry Truman ikiwa ni siku moja tu tangu Donalda Trump atoe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…