yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  2. JamiiForums Tanzania FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡ ๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #NBCPremierLeague โšฝ๏ธ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC๐Ÿ”ฐ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  3. JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

    Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  6. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  7. JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  8. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzani wasikuwa upande wa CDM ni Wajinga ndio manaa wanapenda Simba na Yanga

    Kwa siku za hivi karibuni uongozi wa CDM na haswa Mr Lema na wanachama wao kwenye mitandao wamekuwa wakilaani kitendo cha Watanzani kuwa wafuasi wa timu za Simba na Yanga kuliko chama cha CDM. Inashanga huyu lema hadi kutoa wazo kwa hizi timu zifutwe,mbaya zaidi na pale mashabiki wa hiki chama...
  10. JamiiForums Tanzania Yaani ukifanya mchezo Yanga hata diara anakuweka...kila mchezaji mfungaji

    Yaaan huyu baba Gamondi sijui akikuwa wapi Yaan kilamchezaji anakuweka Ukisibiri aziza anakuja clementine Ukimkosa clementine shamaaa anakuweka Ukimbana shamaaa sengeli anakuweka Tunapoelekea tusishangae na Disrael akaa diara i akakuweka Yanga tamuu jamani
  11. JamiiForums Tanzania Yanga kaweka 6 simba anawekwa ngapi niko pale kwa wakala:;;;

    Mjomba najua uko huku unasomaq Nikukumbushe tyu ile safari yyeti ya kila siku sijui makundi sijui lwenda robot Inaishia leoo Mjomba nisamehe sana sijaandika kaa uchungu bali nimewaza tu kama yanga walipiga 6 Leo mnawekwa ngapi Mjomba jpili njema
  12. JamiiForums Tanzania YANGA NDO TIMU ILIOINGIA MAKUNDI KIBABE CAFCL MSIMU HUU

    Msimu huu yanga ndo time pekee iliyoingia makundi kibabe na kuionyesha Africa kuwa hakuna mpinzani atakayeweza kuzuia yanga mwaka huu
  13. JamiiForums Tanzania Gamondi anapoelekea kuna siku atampanga RAISI WA yanga Eng kha

    Yaan ya jana yanafurahisha sana Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na ameweka mbili, nakumbushwa DUKE ABUYA ametokea bench ameweka kambani. Uhuni ni nini? Ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na Yanga n ukatili wa kij.....

    Kwelii kabisaaaa unaifunga timu 6-0 NOOOOO NOOOOO HATA MNGEWAACHIQ GOLI1 DIARA KAMA YUKO LIKIZO AISEE HAYABANA
  15. JamiiForums Tanzania Yanga yafuzu makundi kwa kuifunga matimu mabovu

    Hapo vip! Vital O na CBE SA ni sawa na mbeya city na lipuli ya Iringa...Hata mashujaa wangewafunga 10.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza Zanzibar?

    Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji. Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
  18. JamiiForums Tanzania CAFCL 24/25 YANGA ๐Ÿ†š๏ธ CBE

    Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mkondo wa kwanza ulimalizika kwa Yanga sc kushinda Goli 1 ambalo lilifungwa na Prince Dubeโšฝ๏ธ
  19. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

    Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza. Mkifanya Mฤ…kosa ya kuamini...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza kabla ya match kuaza kati ya Yanga na CBE na ile ya Simba na Al Ahly zisimame kwa dk1 kama ishara ya kuwahenzi waTz wenzetu waliouwawa.

    Kama title inavojidadavua hapo juu:, Kuna haja ya kuwaonyesha Maharamia kupitia michezo hususani soka, ingawa na mingine hipo haja ya kufanya hivo pia kuwa tunapinga mauwaji yanayoendelea kila kukicha nchini, nazani kupitia soka na machezo mingine, itakua tumefikisha ujumbe kwa hawa nyonya damu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ