yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba ni mwakarobo, je Yanga ni mwaka?

    Simba ni mwakarobo, je yanga ni mwaka.....? Tusaidianeni tuwapatie jina hawa wazee wa four figure na calculator.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

    Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi. Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko. Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
  3. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

    Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10 1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza. Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers. 2.Yanga hawakucheza kama team, Kila mchezaji alitaka kuwa man of the match kitu ambacho kiliwaghalimu Yanga,Makosa ya Mzize kupiga...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ndio aliwadokeza hawa Waarabu. Ameniharibia huu mwaka kabisa namlaani

    Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers. Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi. Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

  7. JamiiForums Tanzania Kwani haiwezekani Yanga tukate Rufaa MC Alger anyang'anywe point kwa kupoteza muda

    Wakuu, habari zenu? Nianze kuunga mkono kwa Yule ambaye atasema "Bara la Africa limelaniwa" pasipo na shaka Wala dukuduku lolote kutoka moyoni yupo sahihi. Hii haiwezekani hizi hujuma ambazo wana-Yanga tumefanyiwa kwenye match yetu kati ya MC Alger hazitakiwi na Wala siyo vitendo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga Bingwa : Nabashiri ushindi kwa Yanga leo Yanga itashinda 3:1 Mc Alger

    Tukutane hapa hapa baada ya dakika 90+5
  10. JamiiForums Tanzania MC Alger anafungwa atake asitake. Yanga isiposhinda nipigwe ban ya wiki

    Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu. Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu mbili kwanini matokeo ya Al hilal vs Yanga yalikuwa 0-1

    1.Ushindi 1-0 kwa Yanga , maana yake Al hilal kivyovyote ataongoza Kundi hata akifungwa na Mazembe 2.Yalitosha kumpa Yanga points zitakazoweza kumvusha endapo atashinda mechi yake ya Leo . Mahesabu makali ya Ibenge yamewapa Yanga unafuu wa kusonga mbele
  12. JamiiForums Tanzania Yanga yaingia robo fainali ya Kafulila Cup

    Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0. Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la 3 kwa kumtekenyatekenya mwamuzi Matokeo hayo yanafuta machozi matokeo mabaya timu ya Yanga...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nimeota Yanga kachapwa goli 2 kavu na mwarabu. Natetemeka muda huu

    Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama. Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
  14. JamiiForums Tanzania Fatma Dewji awapelewa Mashabiki wa Simba Mwembe Yanga

    Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
  15. 1

    JamiiForums Tanzania Nawasihi mashabiki wa Simba tusiende kabisa uwanjani Jumapili vinginevyo tutaiingiza timu yetu kwenye zahma nyingine, twendeni Mwembe Yanga kuona gemu

    Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu. Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
  16. JamiiForums Tanzania Taratibu za kusajili tawi la Yanga

    Habari za wakati huu ndugu zangu? Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi mpaka tawi kufunguliwa. Tumejikusanya mashabiki 30 na wengine wanazidi kuongezeka tunataka tupate...
  17. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

    Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter
  18. JamiiForums Tanzania Yanga SC walifanyie sana Kazi hili japo wameshajiaminisha kuwa Watamfunga MCA Jumamosi ijayo

    Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya Kimaamuzi Jumamosi ijayo. Nawaomba mno Yanga SC hasa Kocha wao Mkuu na Benchi la Ufundi...
  19. JamiiForums Tanzania YANGA atashinda 2-0/2-1/3-1 kwa mkapa

    Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo 7 odds Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa Rgds Pdidytz
  20. JamiiForums Tanzania Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

    Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz Wanangu hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…