yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Video: Kuhusu team yangu ya Yanga. Huyu atafutwe kabisa

    Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kung’oa Kocha Singida na benchi zima la ufundi

    Yanga SC baada ya kuvunja mkataba na Sead Ramovic, Sasa ni zamu ya Hamdi Miloud kutoka Singida BS kutua kwa wananchi. Yanga wanamchukua kocha mkuu wa Singida BS na benchi lake lote.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  4. JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunawaonea huruma sana Mikia. Mpanzu hamna kitu pale. Mwacheni

    Huyu mchezaji hafai. Ni hasara mwacheni. Nawashauri hivyo.
  5. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

    Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs Tabora United SHOMARI LAWI nae amechezesha mechi 3 za Simba Sports .Yani Vs Singida Black Stars Vs...
  6. JamiiForums Tanzania Game ya Yanga na Azam itapigwa Chamazi?

    Jee kama inapigwa Chamazi CCTV Camera zitakuwepo? Gemu itaanza saa kumi na Moja. Ikifika saa Moja itabidi taa za uwanjani ziwashwe, jee wataendelea kumzimia taa yule mchezaji aliyelogwa ili asifunge goli? Yale mavitu yatakuwepo ama watajidunga huko huko ili asinaswe na kamera?
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
  8. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  9. JamiiForums Tanzania Hawa Simba mnaowaona humu baada ya tarehe 08/03/2025 hamtawaona tena

    Kiboko ya Simba koko ni Yanga... Simba watapiga piga kelele...waambie Yanga huyoooo.... Wanaweka mkia makalioni wanalala mbele. Wepesi kama kamasi za kichanga. Wacha washinde match zoooote. Watakuja tema points 3 kwa sisi wakali wao. Wakali wa hizi kazi. Mi nawacheck....nasikitika tu maana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira changamkeni mechi za Yanga ni ajira tosha, anza sasa kubet

    Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga. Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20 Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi?? Sio mpaka niwafundishe kila kitu
  12. JamiiForums Tanzania Yanga vs Kagera: huyu Nassoro Mwinchui aache kujiaibisha na uchawa kwa Yanga

    Mwamuzi wa kati Mechi Kati ya Yanga na Kagera sugar Wana supa nkulukumbi anaonyesha waziwazi Kuwa yeye anachezesha Sio Kwa kufuata Sheria 17 za soka Bali mahaba binafsi dhidi ya Yanga na Sitaki kuamini kuwa ni issue ya bahasha toka Kwenye uongozi Bali uchawa wake. Kuna matukio Zaidi ya matano...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Chama kagundua Yanga hatuna mzuka naye sasa anataka kuwa anatuchomesha kwa Mikia

    Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha. Amekuja huku anakula ubwabwa tu na kuhangaika na mademu. Fala sana huyu. Halafu analeta tena habari za...
  14. JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yakokuhusu game ijayo ya Simba na Yanga?

    Simba ataendelea kuwa mteja? Kocha mpya wa Yanga naye ataiona Simba?
  15. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Yanga tunasubiria baadhi ya wachezaji waachwe Simba tuwachukue

    Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI. Huku tunategemea Simba ikiacha au ikionesha little interest kwa wachezaji flani ndo tukabebe. Kwani uongo? Makapi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

    Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa, Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani? Viongozi wa Simba wapo...
  17. JamiiForums Tanzania Nadhani Simba wana mtu wao kule ndani CAF. Sielewi hizi takwimu, ina maana Eng. Hersi kashindwa kuipandisha Yanga?

    Wadau nmeikuta tena hii sehemu. Ina maana Hersi anashindwa kupenetrate kule ndani kuipandisha Yanga? Yaani Simba wapo Shirikisho. Bado wanapigiwa promo na kukuzwa kila sehemu? Why? Kwa nini?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa kwa kuichabanga Copo mabao 5 0

    Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie. Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal. Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
  19. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga azungumzia Maandalizi kombe la Shirikisho

    Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi walivyojipanga kuhakikisha wanalibeba au kufika fainali. Side ameonekana kuungwa mkono na wanayanga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga imepata sababu ya kumfukuza kocha wake. Ni 08 March

    Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…