yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wamgeukia Zimbwe Jr

    Za ndaaaaaani kabisa, #TETESI Yanga wamempa Million 400 Beki wa Simba Mohamed Hussein ''Zimbwe Jr'' ili aweze kujiunga na Yanga katika kipindi hiki. Taarifa zaidi inasema kwamba Yanga wanataka kuendelea kuboresha timu yao kwenye michuano ya kimataifa kwa kuendelea kutafuta wachezaji wenye...
  2. JamiiForums Tanzania Pele na Santos wageni wa Yanga mwaka 1976

  3. JamiiForums Tanzania Kwa mashabiki na Viongozi wa Yanga

    Wadhamini wa michuano ya CAF (club bingwa na shirikisho) ni total energies rangi yao ni nyekundu na huvaliwa na timu shiriki kwenye jezi zao. Sasa basi Yanga mtavunjwa huo mwiko uko nyuma kwa kuvaa beji ya rangi nyekundu ya Total energies?
  4. JamiiForums Tanzania Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

    GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya. Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Hakika Haji Manara hakukosea kuwaita wana Yanga SC 'Hamnazo' kwani leo wamelithibitisha hilo kwa vitendo

    KAULI YA MKUU WA MATAWI YANGA SC MKOA WA DAR ES SALAAM..... 'Kwa tulichofanyiwa na Azam FC juu ya Mchezaji Fei Toto ni Uhuni usiovumilika hivyo nitawahimiza wana Yanga SC wote nchini Kususia kununua Bidhaa zozote zile za Azam" KAULI YA YANGA SC KATIKA USAJILI WA DIRISHA HILI DOGO LILILOPO...
  6. JamiiForums Tanzania Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

    Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika. Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga isajiliwe kama kikundi cha kigodoro wacheza uchi

    Ile connection ya Yanga imeonyesha vipaji vingi walivyonavyo wana Utopolo. Nimeona dada ambaye ni kiongozi wa tawi la Yanga akijimanua hatari kabisa. Kuna yule kijana wa kiume anayatawanya matikiti kwa ustadi wa hali ya juu. Kifupi hiki kikundi kisajiliwe kama idara ya Yanga. Kitumike kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga tofautisheni kati ya Azam na Azam FC

    Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal. Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga watia aibu, wacheza uchi kushangilia kurudi kwa Fei Toto kambini

    Japo mimi ni shabiki wa Yanga ila hili siliungi mkono, wametudhalilisha sana na kuonekana sisi ni watu wenye ulimbukeni mkubwa wa mafanikio, tumeonekana sisi hatuna akili. Mbona wenzetu Simba wamechukua kombe mara nne mfululizo na kufanikiwa kufika hatua za mbali michuano ya kimataifa ila...
  10. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Yanga huu hapa mambo hadharani.!

    Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi namba moja. AZIZ K -baada ya kuisumbua Simba walipokutana na Asec Mimosas...
  11. JamiiForums Tanzania Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

    Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
  12. JamiiForums Tanzania Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

    Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi! Hebu wanamichezo wenzangu...
  13. JamiiForums Tanzania Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Yanga ni Mabingwa tena

    Wala haihitaji akili nyingi kuona hili,timu inajituma uwanjani, unaona kabisa wana kiu na ushindi! Wachezaji kila mmoja kwa nafasi yake anatimiza majukumu yake. Yanga sports club watachukua ubingwa mpaka wachoke wenyewe..kama timu nyingine hazitabadilika.Sio kama huku kwetu tumejaza "mafaza"...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je Yanga ni sikio la kufa?

    Muda mwingine unaweza kukubali kuwa Yanga ni sikio la kufa iwapo km suala la Fei Toto litawabwaga chini. Je Yanga hawakupata somo kupitia kwa Morison? Ni kweli Yanga Wana wanasheria tena mahili, lakini sio kila nwanasheiria ni mjuzi wa sheria zote na Duniani kote hakuna mtu anasomea sheria kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Azam animalistic kuwavuruga Yanga, atahamia upande wa pili na ndio tutaheshimiana

    Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao. Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na hapa ndio utajua nguvu ya pesa inataka kutumika kuwavuruga Yanga. Ubora wa Yanga unawatesa sana watu...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga muombeni Faisal airudishe hiyo pesa Kwa account yenu vinginevyo mtakosa vyote.

    Huu ndiyo ukweli, bwana mdogo alitimiza Yale yote yaliyopo kwenye mkataba ikiwemo kuilipa kilabu yake kiasi Cha pesa ili aondoke Kama mchezaji huru. Sasa Yanga Kwa panic wameisusa hiyo pesa. Sasa Faisali atalazimika kuitumikia klabu yake mpya bila kujali suala hilo maana yanga ndiyo wamevunja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…