yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Wana Yanga SC mlioko hapa JamiiForums ili niamini kuwa mna Akili na kweli mnazitaka alama 3 za mezani nijibuni haya maswali yangu

    1. Ili mpewe Alama (Points) Tatu za bwerere mnazozitaka Kikanuni kulipaswa Kwanza kuwe na tukio gani Kikanuni? 2. Aliyesababisha Mchezo kutochezwa ni Klabu ya Simba au ni Bodi ya Ligi chini ya TFF? 3. Ni lini Yanga SC imewahi kuwa na Kesi popote pale (ndani TFF na nje CAF au FIFA) na ilishinda...
  2. Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

    GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
  3. VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa. Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika Mo Arena kisha kupiga honi na kuondoka
  4. A

    Viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wajiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya dabi ya Kariakoo

    Ukweli ni kwamba, kwa nchi ambayo viongozi wake wanawajibika ilitakiwa mpaka mchana wa leo viongozi wa TFF na bodi ya ligi wawe wamejiuzulu kwa kushindwa kutafuta suluhu ya sintofahamu ya jana. Kuna wakati unajiuliza hivi hawa viongozi wa mpira ikitokea wamepewa madaraka makubwa na ghafla...
  5. Haji Manara inakuwaje leo umekuwa mzungumzaji Mkuu kwa kilichotokea na siyo Ali Kamwe wala Hersi Said au hata wana Yanga Waandamizi wenyewe?

    Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yakitolewa Wiki ijayo au baadae basi Uongozi wa Yanga SC ukurudishe Wewe katika Usemaji na siyo...
  6. E

    Tukiwa wakweli ni kwamba klabu zote hizi mbili na baba yao TFF zina viongozi uchwara na wanafikiri kwa mihemko kama wanaogoza timu za mtaani

    Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea. Simba: Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye mantiki kufanya mazoezi kwenye huo uwanja. Mna uwanja wenu wa mazoezi wa siku zote , sasa kipi cha maana...
  7. Tetesi: TFF kuburuzwa FIFA na Yanga kwa kuahirisha mchezo halali wa ligi bila sababu maalum

    Habari za ndani zinaeleza, Uongozi wa club ya Young africans imeketi na kuamua kuipeleka TFF katika mahakama za juu za FIFA kufuatia shirikisho hilo kuufuta mchezo namba 148 wa Ligi kuu bila sababu za msingi kinyune na sheria na taratibu za Ligi kuu bara. Kwa mujibu wa kanuni na taratibu za...
  8. Technically Uongozi wa Yanga SC kama ungekuwa na Akili na ili kuleta Utulivu na Amani ya Mchezo wangefanya hili haraka lingesaidia ila hawajalifanya

    Tukiwaambia kuwa nyimwa vitu vyote na Mwenyezi Mungu ila siyo Akili na uwezo wa kuona mbali mambo na kuyakabili haraka mnakuwa wagumu Kuelewa. Ni kwamba kama kuna Kosa la Kiufundi ambayo Uongozi wa Yanga SC na hasa Kurugenzi yao ya Mawasiliano na Habari imefanya ni Kukaa kimya kwa kutokutoa...
  9. Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  10. Bodi ya Ligi yaitisha kikao cha dharura kujadili malalamiko ya Simba SC na kususia mechi ya dabi

    Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
  11. Kibu Denis Kuikosa Kariakoo Derby Jumamosi hii

    Wakuu, Taarifa za kuaminika ndani ya uongozi wa klabu ya Simba SC zinaeleza,Kibu Denis amepata majeraha ya kifundo cha mguu,yatakayomuweka nje kwa takribani wiki 6,hivyo atakosekana uwanjani siku ya jumamosi, Ikumbukwe Kibu D ni mchezaji chaguo la kwanza la kocha Fadlu Davis katika karibia...
  12. Matokeo ya mechi ya Watani wa Jadi Yanga SC vs Simba SC Mwezi Machi

    Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC. Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare...
  13. Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

    Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
  14. Yanga tuwe imara, TFF inawaandalia ubingwa Simba Kwa kuinyongonyeza Yanga

    TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally aliyetamka kuwa adui wa Simba ni Yanga akiachwa huru kuzidi kuzua taharuki Kuelekea derby TFF inamfungia...
  15. Jumamosi ndipo wote mtakubaliana nami kuwa Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% tukishatoka kupewa Kichapo cha uhakika

    Na ninasisitiza tena sina Chuki nae kama Mwanahabari mwenzangu, ila simkubali kwakuwa ninamjua ni Yanga SC 100%.
  16. Toka Dunia iumbwe kwanini Simba hajawahi mfunga Yanga kila wanapokutana tarehe 8?

    Amani iwe nanyi watumishi Kumbukumbu zangu zimenipeleka mbali sana Lakin hasa nikiikumba yanga mbovu kabisa iliyokutana na Simba imara kabisa iliyosheheni kila kitu Hapo nakumbuka mwaka 2020 mwezi wa 3 tarehe 8 Simba alilia sana baada kupigwa moja bila na Yanga unga unga gori la Bernad...
  17. M

    Salamu za Pili leo kwa Kocha Fahdu Davis na Benchi lake la Ufundi Kuelekea Derby ya Tarehe 08 Machi 2025

    Ndugu Fahdu Davis, Kocha wa Simba Awali ya yote nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya ndani ya klabu ya Simba Sports Club. Ama hakika hadi sasa kupitia wewe na benchi lako la ufundi sisi wanachama na mashabiki wa Simba tumeridhika na performance ya timu yetu hadi sasa. Timu...
  18. Jerry Muro: Mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga

    Wakuu "Mimi ni nabii nilishawaambia watu kwamba Haji atakuja Yanga siku moja na kweli Haji Manara amekuja Yanga, mtu pekee aliyebaki kuja Yanga ni Mo Dewji na niwaambie tu Mo Dewji atakuja Yanga."
  19. Nimehuzunishwa kama si kusikitishwa na Kauli za Mwigulu Nchemba kuelekea mechi ya Derby

    Katika kampeni iliyoanzishwa na Benki ya NBC ambaye ni mdhamini mkuu wa Ligi Kuu, mimi kama mdau wa mpira nimeshangazwa kama si kuchekeshwa na kusikitishwa na Kauli za Mwigulu, kwanza ametoa tuhuma kuwa uwanja tena eti wenye jina maalum kwamba pametolewa penati tatu, yeye anaujua mpira ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…