yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  2. Tofauti niliyoiona kati ya Chama wa Simba SC na Aucho wa Yanga SC ni hii tu ifuatayo

    Chama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata Kiu upesi huku Aucho akiwa ni sawa na Maji yanayokata Kiu na Kuimarisha pia Afya yako. Wote Wawili...
  3. Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  4. M

    Manara (Msemaji wa Yanga SC) acha Unafiki na Kujifanya mwema, halafu nani Kakudanganya kuwa Adui yako mkubwa Dauda ndiyo Mightier wa JF?

    hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what. Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
  5. M

    Wachambuzi wa Mpira katika Redio za Tanzania tutaanza Kuwadharau sasa, Goli la Yanga SC lilikuwa halali kwa Uzembe wa Kipa

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio. Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
  6. M

    Kwahiyo Waziri Mchengerewa ulikuwa unasubiria hadi Yanga SC yako icheze na Biashara United FC (ASFC) ndiyo uwatishie Waamuzi?

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohammed Mchengerewa nani kakuambia matatizo ya Waamuzi (Referees ) Tanzania yameanza sasa? Ina maana Wewe ni Mgeni sana katika Soka la Tanzania (Bongo) ambalo kwa 99.999% linaharibiwa na TFF kwa Interests zao lakini pia na hata Nguvu ya Ushawishi ya...
  7. N

    GSM wakisema Yanga kuna hasara, kimya. Akisema Mo Dewji wanashuka naye jumlajumla. Mafanikio ya Simba ni kitanzi cha Mo Dewji

    Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya. Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu...
  8. M

    Kwanini nikimsikiliza Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi, ila nikiwasikiliza Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize pia...
  9. M

    Kwanini nikisikiliza Interviews za Ahmed Ally wa Simba SC naelimika zaidi ila nikisikiliza za akina Haji Manara na Hassan Bumbuli wa Yanga SC nalewa?

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji ( Mzungumzaji ) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo Simba SC imempata Competent Club Spokesman / Spokesperson kikubwa imuamini, imtunze na imsikilize...
  10. M

    GSM acheni kuwatumia Wasemaji na Wazee wa Yanga SC Kuwachafua Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa TFF Karia kwa Maslahi yenu ya Kibiashara

    Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao. Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
  11. M

    Rais Samia ukikubali tu Kukutana na Wazee wa Yanga SC akina Said Motisha Watanzania Werevu Watakudharau na Utajiaibisha mno

    Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura. Na kibaya zaidi...
  12. Amri Kiemba: Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC utaona analalamika sana kuliko kukumbusha

    Ukimsikiliza Msemaji wa Yanga SC Haji Manara unaona mstari ni mwembamba sana unaotenganisha malalamiko na kukumbusha unahitaji Microscope kuuona mstari huo. Chanzo: Clouds FM
  13. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  14. M

    Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  15. M

    Yanga SC nawatahadharisha msiidharau Mbao FC leo kwani hata Wababe na Matajiri wa DTB FC hawakuamini kilichowakuta

    Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
  16. Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

    Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
  17. FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

    Polisi Tanzania haijawahi kuifunga Yanga tangu ipande daraja lakini Yanga pia haijawahi kupata ushindi ugenini dhidi ya Polisi Tanzania kwenye ligi kuu tangu Polisi wapande daraja msimu wa 2019/20. Je, ni rekodi gani mpya tutaishuhudia leo timu hizi zinapokutana? Mechi ni saa 10:00 jioni...
  18. Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  19. Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  20. "Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…