yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  2. Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

    Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia. Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
  3. Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  4. Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe unaogopa nini kutoa Siri ya kilichokuwa kikiendelea Chamazi kilichokuwa kinafanywa na Yanga SC walipokuwa huko?

    "Kama mmeamua Kuhama hameni kimya kimya na acheni kuanza Kutuchafua kwani hata Sisi tuna yenu mengi sana tu ila tumeamua kunyamaza lakini mkiendelea na Upuuzi wenu tutaisimamisha nchi kwa kusema yale mliyokuwa mkiyafanya na ambayo mengi tumeyarekodi vile vile" amesema Msemaji wa Azam FC Hashim...
  5. Fikiria kungetokea nini kama vilabu vya Simba na Yanga vingeshiriki michuano ya CLUB WORLD CUP

    Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
  6. Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi kutoka Simba hazisikiki tena !

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane MOJA KWA MOJA KWA MAKOLO Kwasasa zile kelele za "GSM anaharibu ligi" hazisikiki kabisa! Kwasasa Makolokwinyo wamehamia kwenye mjadala wa kizushi na Kishambenga kutoka Kwa muhasisi wa mjadala huo Jemedari Said! Hata wale wazee washinda njaa pale Bunju...
  7. Coach Abdihamid Moallin karibu kwenye timu ya wananchi

    Coach mashuhuri mwenye mbinu za kimafya anajiunga na timu ya ndoto yake Young Africans. Coach Moallin ameaga uongozi na wachezaji wa KMC Sasa anaingia timu ya Wananchi Sasa Dube atafunga magoli 49 Kwa msimu, maana anajua kumtumia kiwanja tangu alivokuwa Azam Hii combination ya bench la ufundi...
  8. Kamwe usiruhusu Mtoto wako awe Mshabiki wa Simba na Yanga. Atakuwa fala

    Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa. Hamna akili. Kauli anazotoa Ali Kamwe kwa sasa au anachoandika kinaonesha alipata udumavu wq akili au...
  9. M

    Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

    Ninajiuliza inakiaje waende Azam na baada ya kukimbia Azam wamekwenda KMC. Mbona uwanja wa Uhuru shamba la bibi upo vema tu. Au umefungiwa?
  10. Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane ! Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
  11. Thabit Zaka za Kazi: Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango na nawadharau hata Mashabiki wao Wanaomumini

    "Nadhani Ujinga wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe umevuka Kiwango. Anasema Mchezaji wao Dube huwa akitaka Kufunga Goli anapunguziwa mwanga wa Taa na Wafanyakazi wa Uwanja wa Azam Complex ila mbona hatujasikia lawama za Makipa wa Timu pinzani wakilalamika kuwa na Wao Dube akitaka tu Kuwafunga nao...
  12. Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  13. Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC

    Afisa Habari Yanga SC, Ally Kamwe amesema kocha wa Yanga, Miguel Gamondi bado yupo klabuni hapo, na ataongoza kipindi cha mazoezi kwa wachezaji siku ya leo. Kocha Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC. Soma, Pia: Ali Kamwe aiongoza Yanga SC...
  14. Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

    Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Soma, Pia: Gamondi hana...
  15. Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

    Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi. Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee Hili ndio chanzo cha Anguko...
  16. M

    Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

    Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
  17. Upi mchango wa Haji Manara kwenye Tasnia ya michezo nchini?

    Nimejaribu kumsikiliza leo kupitia Amplifaya ya Milard Ayo, sijaona cha maana zaidi ya kujisifu tu kwamba ndani ya miaka miwili atamiliki/atanunua klabu ya ligi kuu Tanzania. Pia anadai yeye analipwa pesa nyingi na GSM kuliko baadhi ya wachezaji wakubwa hapa nchini. Nataka kujua huyu mtu ana...
  18. G

    Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

    Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis, Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500 Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki. Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana...
  19. Haji Manara: Mimi na kocha Gamondi hatusalimiani, aliwahi kunipa tuhuma nzito kutaka yeye afukuzwe Yanga

    Wakuu msikie Manara huko! Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha...
  20. C

    Gamondi asitimuliwe

    Ni kweli amepoteza mechi mbili mfululizo, lkn ni kocha gani aliwahi kuifunga Simba mara nne mfululizo zaidi yake? Wana Yanga tusijichanganye? Hata aibu ya karne ya (1 - 5) katubeba yeye. Kwa upande wa records muhimu, katuvusha kucheza robo fainali (kibabe kwa kumjibu 4 - 0 muarabu Belouizdad)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…