yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanasimba waanza kumlaumu GSM anaharibu ligi ya mabingwa CAF Champions League

    Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga Soma Pia: Full Time: AL...
  2. Sio uungwana kumchezesha mchezaji aliyefiwa na mzazi wake

    Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo. Uongozi wa Klabu ya Yanga umetoa pole kwa nyota huyo wa zamani wa FC Saint loi Lupopo ya DR Congo huku...
  3. Geoff Lea: Yanga wanaruhusu sana kufikiwa na wapinzani Langoni mwao

    Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu sana kufikiwa na mpinzani tofauti na yanga Miguel Gamondi” “Mfano hata jana, Al Hilal walikuwa...
  4. Kikosi cha Ibenge alichofungwa Mauritania jana ni kilekile alichoshinda Mechi ya awali Tanzania?

    Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona. Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa Kilo 83 nikiwa Golikipa siwezi Kufungwa Goli jepesi kama lile alilofungwa Kipa wa Timu ya Kocha Mnafiki...
  5. Yanga akifugwa leo nipigwe ban ya siku saba

    Naona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa. Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa tatu bila Ikitokea matokeo yakienda kinyume yaani yanga kufungwa nakuomba sana Paw Moderator Invisible...
  6. Yanga kupita kwenda robo simpo tu

    Mi nawashangaa sana watu wanaosema YANGA kuvuka makundi ni ngumu wakati kama YANGA atamfunga Al Hilal kuanzia 3 bila basi hata kuombea hilal apoteze dhidi ya TP Mazembe ili aongoze kundi
  7. N

    Utabiri,Yanga anakwenda kucheza nusu fainali ya ligi ya mabingwa mwaka huu

    Kwa wasiojua mpira wanadhani wananchi wameshatoka kutokana na matokeo ya jana ya mwarabu na mazembe, Sasa iko hivi matokeo ya kesho,Al hilal 1 Yanga 1,hivyo kundi litasomeka Al hilal points 11,Mc alger points 8,Yanga points 5 Mazembe points 2,mechi ya mwisho kwa mkapa Yanga 4 Mc Alger 0,Yanga...
  8. Mshabiki kindakindaki wa Mnyama, Simba SC ila nasimama na Yanga SC wapite kwenda robo fainali

    Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
  9. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  10. Tetesi: Wydad AC yatuma ofa Yanga kwa wachezaji wawili Aziz Ki na Mzize, Yanga yasema kila mmoja ni TSh. Bilioni 1.993

    Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki. Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho
  11. Bado sielewi, kwanini Dube alipwe fedha nyingi kuliko Mzize?

    Hebu nisaidiane majibu! Kwanini mshambuliaji Prince Dube alipwe fedha nyingi kuliko Clement Mzize?
  12. Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi Kuu Tanzania, Vilabu vikubwa Afrika vyawatolea macho

    Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
  13. N

    Sababu ya timu ya Yanga kutumia kauli mbiu ya "Daima mbele nyuma mwiko"na timu ya Simba kutumia kauli mbiu ya "Nguvu moja"

    Historia inaonyesha Simba fc ilianzishwa mwaka 1936,ikitumia jina la queens,baadaye ikabadilika kuwa eagle,kisha Sunderland kabla ya kuitwa mnyama Simba mwaka 1971. Klabu hii ilianzishwa na wanachama waliotoka katika klabu ya Yanga kutokana na kutokubaliana na mambo fulani fulani yaliyokuwa...
  14. M

    Ally Kamwe chukua tahadhari, Manara kuhamasisha gemu ya Yanga vs TP Mazembe ni udhaifu wako kiutendaji, usiruhusu hilo

    Wewe ndio afisa habari wa Yanga, wewe ndio unatakiwa upite kwenye media zote ushawishi wanaYanga waende disband kuishangilia Yanga mwanzo mwisho, kazi hiyo unaiweza vizuri sana. Wewe umeaminiwa na taasisi kubwa ya michezo nchini, Yanga, wananchi wanakukubali sana wewe. Wakati wanaYanga...
  15. Haji Manara: Naamini nisipovaa jezi tunafungwa, mechi ya Tabora sikuvaa tukala Tatu

    Huyu Manara anatufunga kamba 😂 Eti anasema anaamini asipovaa jezi wanafungwa na ile mechi ya Tabora hakuvaa wakala Tatu na ndio kisa cha kuhama pale Azam Complex Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
  16. G

    Yanga wanapangiwa matokeo nje ya uwanja, Timu hazikabi, Makocha hawaoneshi kuumia

    ligi yetu kuna upangaji wa matokeo, Wachezaji hawakabi, wachezaji wanajifunga, Makocha hawaoneshi kuumia. kocha wa Yanga asije akajidanganya kaisuka timu, Ni Bahasha ndizo zinatengeneza mtelemko, Kipimo cha ukweli ni mechi za kimataifa (MECHI 3 POINT 1) Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0...
  17. TFF rasmi imethibitisha Abdihamid Moallin kuwa kocha msaidizi namba mbili wa Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa klabu ya Yanga imekamilisha taratibu zote za kumtumia Abdihamid Moallin kama kocha msaidizi namba mbili wa kikosi chao ambapo ameanza kutambuliwa kikanuni katika mchezo wa leo Desemba 29 dhidi ya Fountain Gate. Vilevile Kamati ya...
  18. Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate 📆 29.12.2024 🏟 KMC Complex 🕖 10:00 Jioni #Daimambelenyumamwiko# Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi. KIKOSI CHETU CHA LEO Updates Mechi imeanza DK 1 Mpira unaanza kwa kasi. Yanga wanaumiliki mpira, 0-0 DK 12 Game...
  19. FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

    Mtanange mkali Leo. Kinyanganyiro: Ligi Kuu Tanzania Bara - NBC Mwenyeji: Singida Black Stars ya Singida Vs Mgeni : Simba SC ya Dar es salaam Uwanja: CCM Liti Singida. Muda : Saa 10Jioni. Tukutane saa 10 Jioni kwa Maelezo ya mchezo huu. VIKOSI VYA LEO. Updates... 00' Mpira umeanza...
  20. Gusa, achia,twende kwao yaanza kuwapagawisha watu,milio ya GSM anaharibu ligi imeanza upya

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya mabingwa wa nchi Young Africans Kuwa na mwenendo mbaya katika ligi kuu ya NBC pamoja na Ile michuano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…