Msemaji wa yanga akijieleza kwa mashabiki wake kuhusu mchango wa milioni 100 kwa ajili ya ccm,amesema kuwa timu yao ina historia ndefu ya kupigania ukombozi wa wananchi.
Mimi nauliza tu,wanapigania ukombozi dhidi ya nani?
Tunajua kuwa ninyi sio club ya mpira tu bali mnatumika sana kwa maslahi...
Yanga ilikuwepo, ipo, na itakuwepo.
Usiku wa kuamkia leo umewakera wanayanga wengi kwa uamuzi wa kutoa mchango wa fedha kwa chama cha siasa. Yanga ina mashabiki kutoka vyama vyote vya siasa. Hata Chadema walipofanya harambee kama hii, klabu haikuchangia. Iweje leo klabu ichangie fedha nyingi...
Kamati ya Maadili na Uadilifu ya FIFA
Ninaandika rasmi kuomba uchunguzi wa haraka kuhusu tuhuma kwamba Klabu ya Young African Sports Club (Yanga SC) ya Tanzania inajihusisha na shughuli za kisiasa, jambo ambalo ni kinyume na Kanuni za FIFA zinazokataza kuingiliwa kwa siasa na ushiriki katika...
Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM.
Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba.
Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya...
Ni dhambi kuisema laana hadharani?
Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana
Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao wameshiriki kilekile kinachowastahili ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.