yahaya

Yahaya may refer to the following people:

View More On Wikipedia.org
  1. Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  2. Utabiri wa Shehe Yahaya bado unaishi

    Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu vitakatifu, ziliwahi kuvutia hisia za watu wengi hasa alipokuwa akizungumzia masuala ya kisiasa kwa...
  3. Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

  4. L

    Shehe Yahaya angekuwepo ningemuuliza kama alikosea ama bado Iko vile vile

    Al maruhum Sheikh Yahaya Husein alitusimulia maono yake kua,baada ya JMK atakuja mtu mweusi,mchapa kazi halafu mchekeshaji. Huyu atamaliza dakika arobaini na Tano za kwanza,lakini arobaini na Tano za pili hatazimaliza. Katika maono yake alisema atakuja Malkia,na baada ya Malkia itaingia timu...
  5. Je Wajua Kwamba CCM wanapambana kwa nguvu zote utabiri wa Shekh yahya usitimie?

    GT Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari. Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania. Je mtaweza au...
  6. R

    Kwa Authority/ precedent ya DPP V Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC), Hakimu ilibidi amuachie, lakini kwa vile, amefungwa mikono

    Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu. Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa. In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC), the Court held:“ If the court refuses to adjourn the case after...
  7. Jamani kwani Sheikh Yahaya alisema yule Rais mwanamke atahudumu kwa muda gani!?

    Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi" Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
  8. C

    CCM wanapambana by hooks or crooks utabiri wa sheikh Yahaya usitimie

    Hicho ndio kinachowatisha CCM...hawatakuwa submissive hata siku moja...Hawatakubali kufanya any reforms hata siku moja.. Uzi tayari
  9. G

    Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

    Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…