UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
Wokovu kutoka kwa nini?
Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni si ujumbe halisi.
Unawasikia Wakristo kila mahali wakisema:
“Yesu aliniokoa!”
“Alinikomboa kwa damu yake!”
“Aliniokoa kutoka laana ya asili!”
Lakini hebu nikuulize:
Rafiki yangu, Yesu alikuokoa kutoka...
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.