wizara ya vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Wizara ya Vijana imeundwa kimakosa na woga tu

    Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika. Hata hivyo, vijana ni nani na wako wapi?. Vijana ni wale wenye umri chini ya miaka 40 hivi. Vijana hawa wengi wao wako kwenye familia...
  2. G

    Wizara ya Vijana ni changa la macho kwa vijana

    Moja ya wizara za kwanza kabisa kuundwa mara baada ya Tanganyika kupata uhuru ni ya vijana, iiitwa "wizara ya utamaduni wa taifa na vijana" (ministry of national culture and youth). Waziri wa wizara hiyo aliitwa Leo Nang'wanda Sijaona akitokea huko huko kwa akina Nanauka. Lakini Leo Nang'wanda...
  3. L

    PostGE2025 Joel Nanauka - Vijana hatutaki uwe Motivation Speaker

    Wanabodi, Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge. Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka...
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

    Joel Nanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake
  5. J

    Wizara ya vijana lengo lake ni kuwaongezea nguvu chawa

    Salut kwenu great thinkers wa jukwaa hili la JF. Binafsi hii wizara mpya inayoitwa wizara ya vijana naona lengo lake ni kuwapa nguvu vijana wajinga kama Lucas Mwashambwa waendelee kusifu madudu yanayofanywa na serikali. Rai yangu kwa vijana wenzangu, tusikubali kabisa kutolewa kwenye relief na...
  6. Mlalamikaji daily

    Hiyo Wizara ya Vijana itakuwa na tofauti gani na UVCCM?

    Sote tunajua shida ya nchi hii sio Wizara ... Shida ya Nchi hii ni CCM Tatizo kubwa nchi hii ni CCM Tu wala sio wizara.. Kwanini? Kwasababu kwa CCM wao ni chama kwanza, Utu/watu baadae... Hiyo ndio slogan yao.. Kwa maana hiyo hiyo wizara itajazwa mavijana ya CCM Tu na ili kuhudumiwa itakupasa...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Rais Samia: Tutakuwa na Wizara ya Vijana na Washauri wa Mambo ya Vijana ndani ya Ofisi ya Rais

    Rais Samia amesema tumeamua kuwa na wizara kamili badala ya kuwa na idara ndani ya wizara yenye mambo mengi, vile vile ninafikiria kuwa na washauri wa masuala ya vijana ndani ya ofisi ya rais.
Back
Top Bottom