wizara ya sanaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Wizara ya sanaa yapinga vitendo vya ukiukwaji wa maadili mitandaoni

    Kufuatia taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuhusu picha jongevu mbalimbali za ukiukwaji wa maadili ya Mtanzania zikionesha baadhi ya watu wakicheza ngoma na aina nyingine za muziki zisizo na staha katika maeneo ya wazi, vyombo vya usafiri na makazi, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
  2. Mindyou

    Wizara ya Sanaa na Michezo: Pamba Jiji FC kufanya mazoezi gizani ni kwa sababu hawakutoa taarifa mapema

    Wakuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Septemba 23, 2025, wizara imesema timu hiyo iliingia uwanjani bila...
  3. Mindyou

    Nini kinaendelea kwenye Wizara ya Sanaa na Michezo? Tangu 2023 hadi 2025 bajeti imeongezeka kwa 1300%. Hizi hela zinaenda wapi?

    Wakuu, Hivi siku hizi kwenye hii nchi vipaumbele vimebadilika? Hii WIzara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo nadhani kuna kitu kinaendelea huku. Leo nilikuwa napitia bajeti na hela ambazo WIzara hii imekuwa ikipatiwa kila mwaka kuanzia 2023 na kiukweli kuna mambo sijayaelewa. Mwaka 2023...
  4. KOMANDO YOSO

    Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  5. Abraham Lincolnn

    Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

    Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika. Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada...
  6. Wakusoma 12

    Hamis Mwinjuma (Mwana FA) apewe Uwaziri kamili wizara ya Sanaa na michezo

    Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
  7. mwanamichakato

    Waziri wa Sanaa na BASATA, kuna baadhi ya nyimbo zinapaswa kutazamwa na kuzuiwa kuepusha uharibifu wa vizazi vyetu

    Utamaduni wetu ni tunu ya taifa Wasanii ktk nyanja mbalimbali wana nafasi kubwa ya kujenga, kuimarisha au kubomoa maadiri, miiko na mila pamoja na desturi. Pamoja na janga la mimba za utotoni. Dunia na nchi yetu bado tunapigana vita pana ya kutokomeza magonjwa ya kuambukiza yanayochochewa na...
Back
Top Bottom