wizara ya madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini Yaomba Shilingi Bilioni 89.3 kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3 Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na Taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Akizungumza Bungeni Aprili 27,2023 Waziri wa Madini Mhe...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vipaumbele vya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika uendelezaji wa sekta unaofanywa na Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini imesema inafuatilia jiwe la bilioni 240 linalopigwa mnada Dubai, yasema ilipata taarifa mtandaoni

    Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. ===== Dansatan Kitandula: Mheshimiwa spika, jiwe la ruby lenye uzito wa kilo 2.8 lipo kwenye maonesho kwasasa...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumuacha Dotto Biteko, kumpa Bashe Kilimo na Prof. Mkenda umeonesha ukomavu na uelewa. Mchengerwa naomba urudishe kombe la taifa

    Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli. Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji. Hivyo raisi kaamua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Haya ndio Mafanikio ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika kwenye Wizara ya Madini

    ALIYOSEMA WAZIRI WA MADINI MHE. DOTO BITEKO KUHUSU MAFANIKIO YA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA LEO NOVEMBA 5,2021 JIJINI DODOMA #Mwaka 2009 Serikali ilitunga upya Sera ya Taifa ya Madini na kufuatiwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010. Baada ya kuonekana kuwepo kwa changamoto kadhaa...
Back
Top Bottom