wizara ya elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    DOKEZO Udanganyifu wa mitihani Paradigms

    Chuo cha Paradigms institute kilichopo kimara Dar es salaam pale wanaandaa waiting wa hovyo kwenye sector ya afya hasa course ya clinical medicine. Yani wanafunzi wanatajiwa majibu ya mitihani tena mitihani ya afya procedure book zinafojiwa mitihani ya cats ya wodini hawafanyi yani hakuna chuo...
  2. Wizara ya Elimu inaruhusuje watoto wanateswa hivi ili shule zionekane inafanya vizuri kimatokeo

    1: Watoto wadogo kabisa wanakatisha usingizi na kuamka saa 11 asubuhi wamejipanga kusubiri school bus. Hapo kurudi ni saa 11 jioni utadhani mzazi katoka kwenye utafutaji. Hapa haijalishi hata kama ni chekechea au darasa la kwanza. 2: Kibaya zaidi ikifika muda wa mitihani ya kitaifa darasa la...
  3. KERO Waziri Wizara ya Elimu, Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo Wanawake na Watoto, Katibu Mkuu, Necta, Nacte, Tie. OKOENI HAWA WATOTO TUTAWAPOTEZA

    https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
  4. H

    Dkt. Mwigulu akutana na Prof. Mkenda na timu ya wataalam ya wizara ya elimu

    DKT. MWIGULU AKUTANA NA PROF. MKENDA NA TIMU YA WATAALAM YA WIZARA YA ELIMU Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba leo Januari 15, 2026 amefanya kikao cha kazi na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh...
  5. Pole Prof. Adolf Mkenda kwa ugumu wa mazingira ya kazi

    Katika mawaziri wanaofanya kazi katika mazingira magumu ni Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia. Eti Wanu, mtoto wa Samia ndiye naibu wako! Wanu ambaye upeo wake wa kufikiri umeishia kumuwaza mumewe Mchengerwa na mama yake Samia! Hivi Wanu atamsaidia Mkenda katika...
  6. Wizara ya Elimu yasisitiza shule zote kufunguliwa Januari 13,2026 na si vinginevyo

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeona taarifa potofu kupitia mtandao mmoja wa kijamii kuhusu kutokufungua shule Januari, 2026. Tunapenda kuutaarifu umma wa watanzania na wadau wote wa elimu kuwa kalenda ya mihula ilishatolewa na Wizara kupitia Waraka wa Elimu Na. 5 wa Mwaka 2025 na...
  7. Kuna nini mahafali ya baadhi ya vyuo kuahirishwa mpaka 2026?

    Wakuu kwema? Nina swali la kwamba; kwanini baadhi ya vyuo vimehairisha mahafali (graduation)mpaka 2026 kwa wanafunzi wote undergraduate na postgraduate na wamemaliza masomo mwaka huu 2025? Mfano ni kama ifuatavyo; a)chuo cha diplomasia (Centre for Foreign Relations) graduation imesogezwa mbele...
  8. Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  9. PostGE2025 Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh. Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
  10. Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate). Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu...
  11. T

    Pendekezo Rasmi kwa Wizara ya Elimu – Kitengo cha MitaalaYahusu: Umuhimu wa Kutenga Somo la Maadili (Ethics) kama Fani Inayojitegemea

    Mimi, kama mwalimu wa shule za sekondari, ninapenda kutoa maoni yangu kuhusu mtaala mpya wa elimu kuanzia shule ya msingi hadi sekondari. Baada ya kupitia kwa makini, nimebaki na hofu kubwa kwamba kutokuwepo kwa somo la Maadili (Ethics) kama fani inayojitegemea kutaathiri malezi na mwongozo wa...
  12. Mkuu wa shule azawadiwa gari na halmashauri kwa kuinua ufaulu

    Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemzawadia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Nsumba, Denis Mwakisimba, gari aina ya Toyota IST kutokana na mchango wake mkubwa katika kuinua kiwango cha ufaulu wa shule hiyo, ambayo imeendelea kufanya vizuri kwa mfululizo. Soma pia: Wakuu wa shule...
  13. Tusipo tekeleza tathimini ya awali tutakosea pakubwa wizara ya elimu.

    Katika kuangazia maswala yetu ya elimu kuna mambo kadhaa yamefanyiwa mabadiliko kwenye utekelezaji wa sera ya elimu ya 2014 toleo la 2023. utekelezaji wa mabadiliko hayo umeendelea katika ngazi mbali mbali kwa mfano 1. Mabadiliko ya kozi mbali mbali (kwa ngazi ya vyuo vikuu na vya kati) 2...
  14. Wizara ya Elimu, elimu yetu inachezewa sana, baadhi ya shule wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa hawafundishwi somo la hesabu

    Hivi ni baada ya kufanya utafiti kwa baadhi ya shule ambapo wanafunzi wanaosoma masomo ya sanaa (Arts) wamekuwa wakizuiliwa kusoma somo la Hesabu. Kwa ujumla huu ni ukiukwaji mkubwa wa sera ya elimu na mfumo mzima wa elimu kwani somo hili ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Wizara na...
  15. Vyuo Vikuu visiwe chini ya Wizara ya Elimu

    Kwanza wizara ya elimu inapaswa ijishughulishe na maswala ya elimu ya msingi, secondary na taaluma za kielimu kama vyuo vya elimu na vyuo vya kati. Elimu ya juu inapaswa kusimamiwa na taasisi ya maswala ya elimu ya juu pekee. Kipindi cha rais Mkapa pamoja na JK tulikuwa na wizara ya elimu ya...
  16. TCU ya Wizara ya Elimu unapofuta KOZI kwenye Vyuo Vikuu, toa sababu , Jamii izipime kama Zina mantiki au Uhuni tu wa Siasa dhidi ya KANISA !!

    Nina Wasiwasi sana Sababu za Kisiasa Dhidi ya KANISA ndio zinaweza kua Nyuma ya TCU kufuta baadhi ya KOZI chuo Kikuu cha SAUT !. Kwa sababu hizohizo KOZI bado zinaendelea kutolewa kwenye Vyuo Vikuu vingine Nchini . Kuichomekea UDOM, ili tuone na Chuo Kikuu Cha Serikali nacho kimeguswa, ni...
  17. T

    DOKEZO Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu: Kueni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya kufungia baadhi ya fani au programu kwa kutoa maagizo ya ghafla yasiyozingatia muda wa kitaaluma...
  18. A

    DOKEZO Responded Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu kuweni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali

    Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya kufungia baadhi ya fani au programu kwa kutoa maagizo ya ghafla yasiyozingatia muda wa kitaaluma...
  19. K

    KERO Wizara ya Elimu, TAMISEMI mmebariki mtindo wa shule nyingi Dar kutoza pesa za mitihani kwa Wanafunzi kila siku?

    Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila Mwanafunzi. Mtindo huu kwa sasa umekuwa kama fasheni katika shule nyingi, hasa kwenye madarasa yenye...
  20. Wizara ya Elimu ianzishe somo la Mama yetu kipenzi

    Nashauri wizara ya elimu ifute somo la uraia, badala yake wanafunzi kuanzia chekechea hadi chuo kikuu wafundishwe somo jipya la mama. Napendekeza somo lenyewe liitwe "Mama Samia - Nyota inayong'aa toka Kizimkazi" Napendekeza Tundu Lissu, Humphrey Polepole na Josephat Gwajima waingie kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…