wilaya ya same

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba uchunguzi katika hospitali ya wilaya ya Same, Kilimanjaro kwani daktari mmoja hatoi huduma vizuri

    Kuna malalamiko kuhusu mwenendo wa daktari mmoja wa kike katika hospitali yetu ambaye anadaiwa kutowahudumia wagonjwa kwa wakati na kutokuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa. Inadaiwa kuwa hata wagonjwa wenye hali za dharura au wajawazito wamekuwa wakipata changamoto ya kupata huduma kwa wakati...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Bodaboda amuua kwa kumchoma kisu aliyekuwa mpenzi wake muuguzi msaidizi hospital ya wilaya ya Same

    Muuguzi msaidizi wa Hospitali ya Mji Same, Asha Bakari (25), amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni na mpenzi wake usiku wa katika makazi ya watumishi wa hospitali hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo yanayohusishwa na wivu wa mapenzi...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa Mahakamani wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi

    Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57. Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Same: Wananchi waingia mtaani kwa ajili Mwembe Mbaga Samia Day kuhamasisha ushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, Naona ile idea ya Kizimkazi Festival inazidi kusambaa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Mwembe Mbaga, Wilaya ya Same, Kilimanjaro, wamejitokeza kushiriki Mwembe Mbaga Samia Day, tukio maalum lililolenga kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika uchaguzi...
Back
Top Bottom