wilaya ya ruangwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  2. DOKEZO Wahudumu wa afya ya jamii(CWH) wilaya ya Ruangwa hawajapewa vifaa, hawapewi stahiki zao na kazi wanafanya

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliandaa wahudumu wa afya ya jamii kwa kuwagharamia mafunzo yaani Ada, malazi chuoni na chakula na kila kitu kuhusu mafunzo hayo. Baada ya kumaliza wahitimu wanatakiwa kupewa vifaa vya kufanyia kazi kama baiskeli, vishkwambi na vifaa vingine...
  3. Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  4. Lindi: Watu watano wafariki kwa kunywa dawa ya kuacha pombe

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Hassan Ngoma amesema Watu watano wamefariki katika Kijiji cha Nambilanje Wilayani Ruangwa, Lindi baada ya kunywa dawa waliyopewa na Mganga wa tiba asili, Shigela Malehe(39), ili iwasaidie kuacha pombe. Akiongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…