wilaya ya ngara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  2. Titho Dyakiye Philemon

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  3. Titho Dyakiye Philemon

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  4. Titho Dyakiye Philemon

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangia Tsh. Milioni 8 kwa UVCCM Wilaya ya Ngara

    Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera ameshiriki Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) la Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera. Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Ametoa Shilingi Milioni 5 (5,000,000) kwaajili ya Kununua Simu za...
Back
Top Bottom