wilaya ya kilolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  2. A

    KERO Shule ya Msingi IDETE iliyopo Wilaya ya KILOLO - Iringa ipo katika hali mbaya sana

    Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha. Tafadhali uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo utusaidie kuboresha mazingira haya ya shule.
  3. M

    TANZIA Iringa: Katibu wa CCM Kilolo avamiwa na kuuawa na Watu wasiojulikana

    Watu Wasiojulikana Wanadaiwa wamemvamia aliyekuwa Katibu wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa, Christina Kibiki na kumuua kwa kumpiga risasi. Taarifa ambayo Matukio Daima Media tumeipata inadai kuwa watu hao Wasiojulikana wamefanya uvamizi huo usiku wa kuamkia leo Novemba...
  4. R

    Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

    ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB) Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili...
  5. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh...
Back
Top Bottom