whatsap urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—จ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐Ÿ‘€๐Ÿ”

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. ๐Ÿ” Wazazi wataweza kudhibiti nini? ๐Ÿ‘ค Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  2. JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. ๐Ÿ“ข Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yaifungia WhatsApp baada ya WhatsApp kushindwa kufuata sheria za nchi hiyo

    Urusi imezuia matumizi ya huduma ya ujumbe ya WhatsApp ikidai kampuni hiyo imekiuka sheria za nchi, huku wananchi wakihimizwa kuhamia kwenye jukwaa mbadala linaloungwa mkono na serikali, hatua inayotafsiriwa na wengi kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza wakati wa vita vya Ukraine. Msemaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ