wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania NIMELIA LIPOSIKIA HILI

    Iko hivi Kuna video moja ipo katika mtandao ambayo inazungumzia mtu mmoja aliekuwa na madaraka katika nchi 1 iliopo Mbali dunia inayoitwa - JAMAINA Kiongozi huyo alikuwa nafasi ya uwaziri ya kusimamia watu kazi ambao waliopo kwenye adhabu Siku 1 vijana walipewa kazi ya kulima shambani kama ni...
  2. G

    JamiiForums Tanzania kadri umri unavyozi kuenda utachepuka na wake za watu. Ni ngumu kuwa 40+ na kuchepuka na vibinti vyenye 20s na wengi wenye 30+ ni wake za watu

    Ni kawaida kwa kijana mwenye 20s hadi 30s kuchepuka na mabinti wenye 20s, hata wakiwa out watu huwachukulia kawaida, gepu la rika halistui. Ishu inaanza ukifika 40+, wanawake ambao ni feasible kuwa approach ni wale kwenye 30s na ratio yao kubwa ni wake za watu aidha wapo kwenye ndoa active ama...
  3. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  4. M

    JamiiForums Tanzania IFIKE MUDA UKUBALI KUWA HUYO SIO HADHI YAKO, ACHIA WENYE HADHI YAKE WANYOOSHANE 😊

    KUNG'ANG'ANIA ASIYE HADHI YAKO SHARTI UKUBALI KUIGIZA NA KUTUMIKISHWA 😔 Sio vibaya kukubali kuwa huyo hamuendani kuliko kujitutumua uonekane ni hadhi yake huku sirini unaumia na kunyanyasika. Mtu ambaye anataka matumizi ya laki tano kwa mwezi ilihali mshahara wako kabla ya makato ni laki nne...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wenye leseni za udereva

    Habari waungwana, Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D, Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mila ya kuua waume wenye mali ya baadhi ya wanawake wa makabila ya kiafrika

    Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko mwanzoni mwanzoni tu. Kwanini watu wengine kama vile wazungu wachina wote huzeeka pamoja,mbaka pale niliposikia tukio la jamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba sifa za Wanaume wenye muonekano kama huu

    Kichwa Cha Habari kinajieleza. Tiririka, povu sitaki
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

    Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
  9. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wenye ufahamu mdogo sana. Wasomi kwa wajinga. Nitatoa mfano mmoja au miwili tu.

    2018 kuna binti aliajiriwa kazini kwetu, ile first appointment. Binti alikuwa anakuja kazini kwa daladala na kurudi kwa daladala. Mshahara wake ulikuwa 700k ukiweka na posho ilikuwa kama 900k. Kwakuwa alikuwa kitengo chenye mianya ya pesa nyingi na ninaijua michezo michafu yote ndani ya ofisi...
  10. JamiiForums Tanzania Wenye Mabaa sehemu mbalimbali hii Kero ina maana imewashinda au mnataka sasa Wateja wenu tutembeze Kichapo kwa hawa Watu ndiyo muelewe tumechoka nao?

    Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
  11. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  12. JamiiForums Tanzania Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanapoteuliwa na kutumbuliwa ni wale wale? Hakuna watanzania wengine wenye sifa na maono?

    Moja ya jambo linalojitokeza kwenye mikeka ya uteuzi na kutumbua ni kujirudia kwa majina. Tumekuwa tunawaapisha watu walewale kila siku na hivyo hata maono yamebaki ni yale yale. Je, kuendelea kuteua watu wale wale kuna tija kwa Taifa au ni tija kwa familia ya wanaoteuliwa? Je Taifa halina watu...
  14. JamiiForums Tanzania Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

    Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya jicho kucheza 4.na viungo vinginevyo.. 5... 6... Asante. Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
  15. JamiiForums Tanzania Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wenye Tattoo ni waongo kinoma

    Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wenye wagonjwa hospitali ya Mloganzila

    Moja kwa moja kwenye mada Ndugu zangu watanzania wenzangu kuna watu wana wagonjwa hospitali ya mloganzila lakini baada ya kufika pale mtu au watu waliokuja na mgonjwa wanakosa sehem ya kukaa au kuishi kipindi wapo na mgonjwa kutokana na jografia ya hospitali ni mbali na guest au hoteli hivyo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye akili ndogo mara nyingi hufa mapema?

    Najaribu kufikiria kwa sauti au kwaza kwa sauti. Mara nyingi watu wenye akili kisoda/finyu huwa wanakifa mapema sana. Au kwa kuwa huwa hawatumii akili katika masmuzi yao wanaongozwa na emotions na kumuogopa kila mtu kwa inferiority complexes zao. Angali wafuato. Jpm kafa ghafla na mapema mno...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Tumechoka wananchi wa Karagwe na mamlaka za TANESCO pamoja na TCRA

    Kutoka Rwambaizi Karagwe Kagera wananchi tumekuwa tukiteseka Sana kwanza kuna swala vocha wenye maduka wamekuwa wakijapangia Bei za vocha ya sh 500 wanaiuza kuanzia 600 hadi 700 tunaomba Jamiiforums mtupazie sauti watanzania kwa mamlaka husika. Pili swala la umeme wamekuwa wakikata umeme...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…