Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani
Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi.
Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15.
Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana)
Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili.
Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.
Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.
Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu.
Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake.
Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM.
Sijui kapotelea wapi?.
GTs,
Samia tangu amteue Nanauka kuwa waziri wa vijana sijaona alichofanya zaidi ya kucheza bao na wahuni aliowakodisha.
Yaani badala ya kuamrisha yafuatayo;
1. Kuhakikisha vijana hawatekwi tena
2. Kuhakikisha vijana wote waliofariki maiti zao zinapatikana
3. Kuhakikisha vijana wote...
Wanabodi,
Kwanza nimpongeze huyu Kijana mwenzetu kwa kuteuliwa Waziri mara tu baada ya kupata Ubunge.
Ushauri wangu hatutaki ukawe Motivation Speaker tunataka matokeo ya fursa za Ajira na akili iliyochangamka katika kuhakikisha Kila kijana wa Taifa anakuwa na Ajira yenye kipato cha kueleweka...
JOEL NANAUKA ALIONA ISIWE TABU
Waziri wa vijana, Mhe. Joel Nanauka aliwahi kugombea ubunge wa Jimbo la mtwara Mjini mwaka 2015 kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo [Chadema] lakini aligonga mwamba akaona isiwe tabu mwaka huu 2025 ameshinda kupitia chama cha Mapinduzi [CCM].
Na hii ikupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.