Nimeona leo zanzibar wakihaidi kupeleka nyuki ikulu ya Chamwino ili kumlinda mweshmiwa Rais
Hawa wazee wa kimila wanapewa mialiko rasmi ya shughuli kama hizi zinazohusu mkuu wa nchi
Wana msaada gani kwenye taifa hili, Kama ni maadili hawana chochote cha kufundisha vijana wanatupotezea mda tu...
Hawa wazee ni hatari sana, msiwachukulie poa, ombi lao lifanyiwe kazi haraka kabla madhara hayajatokea.
Najua mtapuuza lakini tutakutana hapahapa kijiweni.
Huyo alienyoa W kwenye ulimwengu wa kiroho ni hatari sanaaaaaa.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.
Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.