wazee wa kimila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    GE2025 Wazee wa kimila wa kikurya watoa tamko

    Hawa wazee ni hatari sana, msiwachukulie poa, ombi lao lifanyiwe kazi haraka kabla madhara hayajatokea. Najua mtapuuza lakini tutakutana hapahapa kijiweni. Huyo alienyoa W kwenye ulimwengu wa kiroho ni hatari sanaaaaaa.
  2. PAYE

    GE2025 Iringa: TAKUKURU yazungumza na Wazee wa Kimila kuhusu Kuzuia Rushwa katika Uchaguzi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
  3. Ngongo

    Wazee wa Kimaasai na Meru kuvunja chungu kufuatia mauaji ya Ali Kibao

    Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU. Wale wote waliopanga,waliotekeleza,waliofahamu na walioficha wategemee kilio kikuu ambacho kitakwenda kusambaratisha hadi...
Back
Top Bottom