wauguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza iwe makini na wauguzi wa Kikenya baada ya tukio hili

    Baada ya utata kuibuka last week kuhusu utaratibu wa kuwapa ajira wauguzi wa afya toka Kenya , wiki hili limetokea tukio ambalo pengine lita ibua maswali kwa serikali ya Uingerezaa kuhusu ubora na uweledi wa manesi toka kenya Ina daiwa kijana mmoja Mkenya anaidai fidia hospitali fulan baada...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitihani ya matabibu tu? Mbona ya wauguzi nayo ilivuja na hakuna hatua zilizochukuliwa?

    Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu. Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu na manesi wengi hawako 'single'?

    Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya miaka mitano kuwa 'single'. Wakuu nauliza kwa nini inakuwa hivyo, au wao wanajua sana kupenda, au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…