watu wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rundo la wanawake watu wazima wananitaka

    Habarini za usiku wasomaji Mimi ni kijana mdogo tuu ambaye mara nyingi hujishughulisha na kilimo na ufugaji. Sasa mwaka huu baada ya kuvuna alizeti na vimahindi vyangu nikaona isiwe tabu ngoja nifungue kabiashara ka kupumzikia tu kiangazi hiki. Nikatafta fremu nikafungua biashara na hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Mama anataka watu wazima wasio na watoto wakataliwe kuingia Disney Land

    Mama huyu ametoa malalamiko yake kuwa watu wazima wanasababish foleni kuwa ndefu. Waruhusiwe tu wenye watoto na wazazi au walezi wao. Ameendelea kusema watoto wanaposikia njaa foleni za kununua chakula ni ndefu na wengi wao ni watu wazima wasio na watoto. Kuna mtoto wa miaka mitatu alikua...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi vijana wana-date na wamama watu wazima

    Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka. 1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga mama yake na yule dogo. 2. Kuna mama huyu muimba kwaya kanisani huyu ndio oya oya, vijana wengi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…