watu waliouwawa maandamano oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Kanisa katoliki laja na mkakati wa kuleta orodha ya majina ya Watanganyika waliouawa October 29,2025

    Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi Oktoba 29 TEC watatoa idadi ya majina ya Watanzania wote bila kujali dini zao Kutumia jumuiya ndogo...
  2. M

    PostGE2025 Padri Kitima: Kulikuwa kuna maana gani kuwaambia watu wakae ndani halafu wanafuatwa mtaani na majumbani na kuuawa?

    Padre Kitima akizungumza na waandishi wa habari amehoji kulikuwa kuna sababu gani ya kuwaambia watu wasitoke nje wakati wa maandamano halafu wanafuata majumbani na mtaani kwao na wengine kuwindwa na kwenda kuwaua?
  3. Genius Man

    PostGE2025 BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari za mauaji kipindi cha uchaguzi

    BBC waendelea kuianika serikali ya Tanzania kimataifa baada ya serikali kutaka iache kuchapisha habari hizo za mauwaji kipindi cha uchaguzi. Aidha serikali haijakanusha uwepo wa mauwaji ya kutisha oct 29, hata ndugu samia alitoa pole bungeni kwa watanzania waliofiwa. Post ya BBC muda mchache...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Mwabukusi: Nimezitizama video za watu waliouwawa Oktoba 29, Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano

    MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU. NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI. NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Ubalozi wa Marekeni: Tupo pamoja katika maombolezo na familia zote za Watanzania waliopoteza wapendwa wao uchaguzi mkuu 2025

    Tunajiunga katika maombolezo na jamii na familia zote za Watanzania waliopoteza wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. ……………………. Soma Pia: Ubalozi wa Denmark watoa pole kwa waliopoteza wapendwa wao wakati wa uchaguzi mkuu 2025 We join in mourning with all Tanzanian families and communities...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Mzazi: Yuko wapi mtoto wangu? Nimezunguka vituo vya polisi hadi hospital lakini sijampata, nimeamua nije mahakamani

    Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa na wengine kukamatwa wakati wa machafuko hayo. Mamia wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa uhaini...
Back
Top Bottom