Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua.
"Urekibishaji unaanza kuhakikisha kwamba hakuna watu wabaya na wahuni wanaingia kwenye mchakato na chama kinawajua mbona hili...