watu wa karibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  2. W

    Ukifa Leo, Ni vitu gani muhimu ambavyo hukushirikisha watu wa karibu havitajulikana na siri zako zipi hasa zile za aibu zitakazofichuliwa ?

    Ni mambo mengi sana muhimu watu huwa wanasubiri wakati sahihi kuyaweka wazi lakini kifo huwa hakina hodi Mifano ya vitu Muhimu ambavyo havitajulikana ukifa leo: Akaunti zako za benki au fedha ulizoficha bila warithi kujua Viwanja, mashamba, nyumba au mali, kuna nyumba huwa zinaitwa za...
  3. R

    Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  4. Knock life

    Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  5. youngkato

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  6. G

    Nilivyoweza kujinasua kwenye gharika la ndugu omba omba, Nilionekana mbahili lakini wanaanza kunielewa, pesa yangu siwezi kuitoa bila uwajibikaji

    Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama hadi wa mke. Katika vitu ambavyo ningependa kuvijua tangu mwanzoni ni hivi Usije kutaja kipato...
  7. Kimbesa11

    Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  8. ndege JOHN

    Watu wako wa karibu wana msongo gani wa mawazo kwa sasa?

    1. Rafiki zangu bodaboda wawili wameibiwa pikipiki, unajua huku Kusini msimu wa ufuta watu si wanakuwa na hela hivyo zinawapagawisha inabidi pikipiki ziwe mchongo kila siku zinaibiwa. Nikiwaona wale bodaboda walivyokuwa wa pole duh hadi huruma. Jana Tena imeibiwa sokoni waizi wameenea. Mwizi...
Back
Top Bottom