Jina kamili: Dawson Dominic Mwesiga
Umri: Miaka 24
Tarehe ya kuzaliwa: 24 Desemba 2000
Namba ya simu aliyokuwa akiitumia: +255 752 968 227
Mara ya mwisho kuonekana/mwasiliano: 29 Oktoba 2025, saa 4:34 asubuhi
Eneo la mwisho alipoonekana: Kimara, Dar es Salaam.
Sisi kama familia ya mtajwa hapo...
Ukiyasikia maneno anayoyasema huyu bibi yake na Soka ambaye alimlea tangu mdogo hadi anakuwa inaumiza sana.
Soka amepotea imepita mwaka na miezi 2 ambapo alitekwa Agosti 18, 2024 familia yake haifahamu wapi amepelekwa mtoto wao. Nyie watekaji mliomteka Soka kumbukeni dunia ni duara ipo siku...
Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.
Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana...
Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi.
============
Ndugu,
Watanzania Wote,
Mabibi na Mabwana,
UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
Hali imezidi kuwa mbaya!
Watekaji wamekuwa kama wafalume katika nchi, kufanya ukatili na kupoteza watu kila siku. Kijana mdogo kama huyu mnamteka kwa lipi hasa.
Nyie watekaji acheni ushamba!
================
Anaitwa
Jerison keraliyo.
Umri miaka 18
Mkazi wa kata ya kishili
Mtaa kishili B...
Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
Ninakaa natafakari sana Je, hii ni CCM iliyopogania uhuru wa taifa hili?
Kwa nia njema kabisa mtu anatoa taarifa kuwa kuna mtu alikwapua bil zaidi ya 60 kwa kusambaza sare hewa. Ni kosa la jinai pia pesa hii iliyokwapuliwa ingeweza kujenga vituo vya afya zaidi ya 20.
Kusema ukweli kuwaa katiba...
Siku ya Jumapili nilipokwenda kanisa, nikashusha watoto pale kanisani, Mungu akanipa hekima niwashushe kwanza watoto niende saloon kunyoa ndevu, haaa ! Kumbe wamejazana kila sehemu hawa watu hakuna chochote hakuna jambo la maana, wapo tu wananyemelea.
Nilipofika pale saloon walikuwa wamshafika...
Usiku huu huko Kakola Bulyanhulu raia wameandamana, barabara zimefungwa.
Raia wanamtaka mtu wao ambae ametekwa leo na watu wasiojulikana moja wapo wa kijana aliyetekwa anaitwa Ibrahim Mfangavo
Taratibu tunaelekea pazuri
Taarifa ya awali aliyoitoa Hilda Newton
HABARI MBAYA Leo Wilaya ya...
Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa.
Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga...
Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo, Yohana Zakaria, mkazi wa Katoro mkoani Geita, anaendelea kumtafuta mkewe, Tatu Kimori, ambaye alitoweka nyumbani tangu Machi 2 mwaka huu.
Tatu, mwenye umri wa miaka 46, alimuaga mume wake akielekea Sirari Mkoani Mara kwa ajili ya kufuatilia mzigo...
Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili.
Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu unaoendelea haya mambo aliyafanya Iddi Amin Dada miaka ya 70 kipindi anatawala Uganda kimabavu sasa Dunia...
Wakuu mko salama?
Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya hivyo wanagoma kuwa waliowakamata siyo polisi.
Wakati mwingine huwa inatokea wanaomkamata mtuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.