watoto wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha. Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha. Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata...
  2. JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    KAMA MKEO HATAKI KULEA WATOTO WAKO AMBAO HAJAWAZAA. USIMLAZIMISHE NI HAKI YAKE. TAFUTA YAYA UMUAJIRI ALEE WATOTO WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mtu asibebe msalaba wa mwingine au mzigo wa mwingine kama sio hiyari yake mwenyewe. Kama ilivyo kwako mwanaume, sio wajibu wako kumlea mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Ugawaji na matumizi ya mtaji(capital) kwa watoto wako

    Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k Tunatumia muda mwingi kufikiria kukusanya assets kwa ajiri ya vizazi vyetu vijavyo. Lakini swali la msingi ambalo huwa hatujiulizi. Vipi...
  4. JamiiForums Tanzania Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
  5. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  8. JamiiForums Tanzania Unajichelewesha mwenye mimi kuwa baba wa watoto wako

    Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei Nakupigia simu, hupokei Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu Nakuandikia barua, hunijibu Nakutumia vocha, hunipigii Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Kweka: Wafundishe watoto kuepuka gadgets, wajenge social skills za lazima

    Ushauri Dkt. Garvin Kweka kwa wazazi ili kuwasaidia watoto kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili katika umri mdogo. Dkt. Kweka anashauri wazazi kuwafundishwa watoto kuepuka matumizi ya gadgets kwa muda mrefu ili wapate skills nyingine. Anasema mtoto anaweza kupata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zako wanavyo kutreat ukiwa huna pesa ndivyo watavyo watreat watoto wako siku utakapofariki, Jenga nyumba na uwaandalie future watoto wako

    Ukiona ndugu zako wanaku treat vibaya ukiwa huna pesa basi ujue hio ndio tabia yao ya kweli, pesa zinawafanya wawe wanafki tu. Siku ikitokea umefariki na umeacha watoto basi ndugu zako watawa treat vile vile kama ulivyokuwa huna pesa. Hakikisha unajenga nyumba, ikitokea umefariki, watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za kumfundisha mtoto wako nyumbani

    Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Dar Elite Home Tuition inakuletea walimu wenye uzoefu, mwenendo mzuri, na uwezo wa kufundisha kwa mtindo unaoeleweka. Tunaandaa wanafunzi wa: – KG 1 hadi Advance Level – NECTA, Cambridge & International Curriculum – Home Schooling, Special...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Umegundua nini watoto wako au wanafunzi wa boarding wakiwa nyumbani likizo hii ?

    Niliyoyagundua Sebuleni kuligeuka Bedroom siku za mwanzo - TV ilikuwa on muda mwingi, wavulana utawakuta kwenye Game au mabinti kwenye series Chakula tulichowapimia hakikutosha hasa ubwabwa wa usiku, ilibidi vikombe vya ziada viongezwe
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Muumini wa Kanisa la Gwajima “Rais tusamehe, tufungulie Kanisa Watoto tusali, kama kuna tatizo malizana na Baba”

    Abel Masebo ambaye alijitambulisha kuwa ni muumini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Kanisa la Ufufuo na Uzima) amezungumza na Azam TV na kueleza ujumbe wake kwa Rais wa Nchi akimuomba afungue Kanisa hilo ambalo limefungiwa na Serikali. Amezungumza hayo akiwa nje ya Kanisa la Kanisa la...
  16. JamiiForums Tanzania Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

    Heshima mbele wakuu. Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji. Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo. Hata wezi nao pia watoto wanaiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…