Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
=========
Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakaofanyika Oktoba 29.
Jana Jumamosi, CCM kilifanyia marekebisho kile kifungu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.