watendaji wa vijiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Halmashauri ya Masasi – Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi tangu Awamu ya 5

    Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara haijawalipa Watendaji wa Vijiji waliosimamishwa kazi kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5 kutokana na suala la vigezo vya elimu. Tumefanya jitihada kuwasiliana na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya WhatsApp lakini hajajibu badala yake amedai...
  2. A

    DOKEZO Watendaji wa vijiji wamegeuka miungu watu kutoa huduma ya anuani za makazi (NAPA)

    Maeneo mengi ya vijijini watendaji wamegeuka miungu watu huku wakidai pesa nyingi kwa ajili ya kuwapa hiyo namba Ikumbukwe waombaji mkopo ni watoto wa masikini kwa asilimia kubwa lakini nchi ipo bize na uchaguzi hamna wa kusema Watu wanatozwa hadi laki ili apate namba ya utambulisho wa makazi...
  3. Wakusoma 12

    Mtendaji wa kata ama kijiji anapaswa kuwa na degree ya utawala, au sheria ama associate degree kwa mambo ya uongozi. Siyo hawa watoto wenye vyeti

    Hivi kuna tatizo gani kwenye vichwa vya viongozi wetu? Yaani leo hii unaajiri mtendaji wa kijiji ama mtaa mwenye elimu ya kidato cha nne na cheti cha taaluma alichosomea mwaka mmoja ama miwili ? Halafu huyo mtu anakwenda kumsimamia mkuu wa shule mwenye shahada moja ama shahada ya uzamivu...
  4. ndege JOHN

    DOKEZO Kijana Enock Thomas Mhangwaock adaiwa kuuawa kikatili Msituni kwa kipigo kutoka kwa Watendaji wa vijiji vya Uyovu na Lyobahika

    Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni Afisa Mtendaji wa kijiji cha Uyovu anaitwa Budimu na Afisa Mtendaji wa kijiji cha Lyobahika anaitwa...
  5. Just Pray

    Mbunge ahoji kwanini wenye diploma hawaajiriwi kuwa watendaji wa vijiji

    Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akijibu,Naibu...
  6. Wakusoma 12

    Serikali Iweke Msisitizo wa Kuajiri Vijana Wenye Degree Kuwa Watendaji wa Vijiji na Mitaa.

    Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
  7. Blasio Kachuchu

    Watendaji wa Kata, Vijiji na Mitaa waagizwa kuendeleza uhakiki anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Mwl. Husein Bakari amewaagiza Watendaji wa Kata na Mitaa wa jiji hilo kutimiza wajibu wao wa kuendelea kuhakiki taarifa za Anwani za Makazi na siyo kusubiri oparesheni kama inayoendelea sasa jijini humo. Mwl. Husein ambaye pia...
  8. Kiputio Og

    Kwanini Watendaji wa vijiji (VEOs na MEOs) Wanalipwa Mshahara mdogo ukilinganisha na majukumu yao?

    Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi ngazi ya serikali za Mitaa hasa kada ya Watendaji wa Vijiji (VEO) na Mitaa (MEO). Malalamiko yanayotokana na Mishahara midogo isiyokidhi gharama za maisha. Ukilinganisha na majukumu yao na Mazingira yao ya kazi. Malalamiko na vilio vyao...
Back
Top Bottom