watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka

    Katika mashauri yaliyosikilizwa katika Mahakama ya ajira ya London, Uingereza, imeibuka taarifa kwamba kampuni ya mawasiliano ya Tigo ilihusika katika kutoa taarifa za simu za mwanasiasa maarufu wa Tanzania, Tundu Lissu, kwa mamlaka za serikali kabla ya jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

    WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
  3. JamiiForums Tanzania Ninachokiona katika hili kongamano ni kama watanzania hatuna furaha ,kuna shida mahala

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024. . Naona matabasamu kwa viongozi tu
  4. JamiiForums Tanzania Wivu Unawatafuna Sana Watanzania

    Watanzania sijui tuna shida gani jamani, labda ni umaskini unasumbua sana ila ukweli hatupo sawa. Imagine mtu anaonea wivu ndoto ya mtu! Waswahili wanasema akumulikie mchana usiku atakumaliza. Juzi kati Diamond alisema ana ndoto ya kuwa Tajiri no. 1 duniani. Elewa nini maana ya ndoto ya...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kushabikia uvunjifu wa demokrasia, tutakuja kujuta baadaye.

    Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  7. JamiiForums Tanzania Hongereni Watanzania kwa kuitunza amani

    Amani ni tunu ya Taifa. Amani ilindwe kwa gharama yoyote kwani gharama ya kutokuwepo amani ni kubwa sana. Taifa changa la Tanzania likiwa kwenye mwendo bora wa kuinuka kimaendeleo limeanza kuonewa wivu na husda. Tuitunze amani yetu ...Tulikuwa huru bila kumwaga damu na tutapata maendeleo bila...
  8. JamiiForums Tanzania Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe achana na watanzania watakufedhehesha.

    Naam bila shaka wote wazima. Mimi sio mwanasiasa hivyo sio mtaalamu sana na siasa ,ila naelewa maisha yangu 100% yanaongozwa na siasa. Siasa ndo inapanga bei ya mkate,mafuta,vyakula nk ,siasa ndo inapanga muda wa kuamka, kulala,usalama wako afya nk hivyo kujiepusha na siasa ni kujidanganya. Mh...
  10. JamiiForums Tanzania Sidhani kama Watanzania hawataki maandamano, na sidhani kama polisi wanaweza kuzuia maandamano yenye tija kwa taifa

    Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi. Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatutaki Act Wazalendo kushiriki ukombozi wa Watanzania kwani ni vibaraka wa CCM

    Watanzania hawaitaki Act Wazalendo ya Zitto. Vibaraka wakubwa wa CCM
  12. S

    JamiiForums Tanzania woga na kuogopa mabadiliko vipo sambamba na watanzania

    Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
  13. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Tanzania ni Wazubavu, Watu wenye tabia ya Kuzubaa

    Kuna ka-reserch nimekafanya kwa muda kidogo kuhusu tabia za watanzania na kugundua kuwa watanzania wengi wana tabia ya kuzubaa, akili kama inachelewa kuload, kuchelewa kufikiri na kutofanya maamuzi kwa usahihi na kwa ufanisi, Ninachelea kusema kwamba maisha ya watanzania ni mabovu kwasababu ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya chadema hayatakuwa na uzito, Jumatatu topic kubwa ni simba na Yanga kwenye mashindao ya Caf ya weekend hii.

    Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya kisiasa Kama mnavyojua, watanzania wengi huthamini zaidi mpira kuliko siasa na mambo ya mienendo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  17. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu katuita Watanzania Wakosoaji (Critics) kuwa ni 'Makhulukutabu', je, ina maana gani?

    Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  19. JamiiForums Tanzania Mange Kimambi asema kumuondoa Magufuli madarakani ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu alikuwa anapendwa sana na watu yaani Watanzania

    Aman iwe nanyi watu wa MUNGU Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais...
  20. JamiiForums Tanzania kwa anaejua watanzania wanataka nini naomba munambia hapa jukwaani.

    naona wabongo vichwa vyetu ni sifuri hatujali kuhusu maisha ya baadae na kizazi chetu,what we look for enternment simba yanga,mabishano ya kiimani na kisiasa,vichekesho na kudanganywa sioni watu wakichukulia serious mambo ya siasa na maisha yao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…