watanzania mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  2. Genius Man

    Gen Z wana-trend. Wamekubaliana uelekeo ni Ikulu na Bungeni. Msisahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9

    Gen z wana trend wamekubaliana uelekeo ni ikulu na bungeni msasahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9.
  3. Yoda

    Watanzania wanapendana na kufuatana sana, Watanzania wa mtandaoni ndio huwa wanakuwa kama familia moja kabisa

    Kwa wasiofahamu Watanzania wa twitter mwaka 2019 waliwahi kukusanyika kufanya ToT bonanza, hili ni jambo la kushangaza kidogo ukizingatia wengi wao hata hawajuaini na wala sio ndugu, ila waliweza kuaminiana wakukusanyana wakala nyama na kunywa pamoja na kufanya michezo mbalimbali na kuonyesha...
Back
Top Bottom