Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya wanaongoza kipindi cha Maskani 47, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu wakiwa kwenye kipindi wametoa madai ya kupokea vitisho kutoka Tanzania wakieleza sababu ni kuongelea matukio ya Tanzania.
Awali kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na hata baada ya uchaguzi...
Watangazaji wa Radio47 Kenya, Mkamburi na Japhe, wamehoji mwenendo wa uchaguzi unaoendelea nchini Tanzania, wakibainisha kuwa kampeni zimeonekana kutawaliwa na mgombea wa chama kimoja, Samia Suluhu Hassan, huku baadhi ya wapinzani akiwemo Tundu Lissu kuwekwa kizuizini.
Hata hivyo, muenendo wa...
Wakuu,
Huyu mbona kama kalipwa afanye promo, nakataa hii siyo akili ya Kenya
-------------
Watangazaji wa kipindi cha Maaskani cha Radio47 nchini Kenya, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu, walitoa onyo kwa wananchi wa Tanzania wanaotaka kuandamana, wakikumbusha kuwa Polisi wa Tanzania hawana huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.