Salam kwenu wakuu.
Nimeanzisha uzi huu tuweze kupeana connection za kimaeneo na fursa zilizopo kwa sisi watafutaji na watu wa kujilipua.
Karibuni tujadili
Kwa upande wangu nipo tukuyu. Fursa za ndizi, na tangawizi zipo za kutosha.
Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya sasa.
- Wanavaa mavumbi ya barabara kabla jiji halijapumua.
Wanalipa nauli ambayo ni pesa ya mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.