wasira

Stephen Masato Wasira (born 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Wassira kwa Warioba hadi kwenye Katiba Mpya. Wapinzani hatumaanishi Katiba ni mali ya Mzee Warioba

    WanaCCM wana matatizo sana, Mzee Wasira akihojiwa TBC amesema haya... ''Wapinzani wanasema wanataka katiba ya Warioba, Warioba hana katiba, kazi yake ilikuwa ni kukusanya maoni na sheria ya mabadiliko ya katiba ya wakati ule inasema baada ya maoni kukusanywa yanafikishwa katika Bunge maalum na...
  3. JamiiForums Tanzania Wassira: Mkapa alikopa trillion 23, Jakaya alikopa trillion 20, Magufuli alikopa trillion 29

    Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia. Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

    Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki. Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii. Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi CCM, Shaka kwa Wasira: Nitaendelea kujifunza ili niwe bora zaidi

    LUMUMBA DAR ES SAALAM Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo 25 Mei 2021 ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Taifa Ndg Steven Masato Wasira katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…