Ni hivi wakati wa kampeni mliowengi kama 95% mlichagua upande wa kisiasa na mkatoa maneno ya kubeza kwa wapinZani mkasema chama chenu kina watu wengi na kina nguvu wapinzan n wachache
sasa leo mnalalamika hakuna show hata streaming kwenye hizo platforms zenu kama.youtube watu n wachache...