Katika historia ya nchi yetu, viongozi wengi wa juu wamekuwa wakitegemea sana ushauri wa watu wa karibu — wasaidizi wao wa kisiasa, wataalamu, na washauri wa kila aina. Ushauri huu unapaswa kuwa dira ya kiongozi kuelekea kwenye maamuzi bora kwa taifa. Lakini swali kubwa linabaki: Je, wasaidizi...
Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya.
Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo anaweza kutumia miezi sita mfululizo bila kupumzika hata siku moja.
Wasaidizi wake wawe makini...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Kwa Maslahi ya Taifa, kwenye Nipashe ya leo
Utambulisho
Japo mnanitambua kama mwana jf mwenzenu, kwenye mada very serious kama ubatili wa Katiba na ubatili wa sheria, naomba kujitambulisha tena na tena kuwa mimi sio tuu ni member wa jf ambaye ni mwandishi wa habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.