Raia wawili wa Bangladesh wamenyongwa kisha miili yao kusafirishwa mpaka nchini mwao baada ya kufanya kosa la kufanya mapenzi katika Msikiti huko Maka nchini Saudi Arabia 🇸🇦 ambapo ni kosa na kinyume na sheria za taifa hilo la Kiislam.
Ubalozi wa Bangladesh nchini Saudi umedai kuwa hawakupewa...
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Saudi Arabia imetangaza kunyongwa kwa raia wawili wa Bangladesh, Nazerul Islam Abdul Basir na Siti Akhtar, katika mkoa wa Makkah siku ya Jumatano, Oktoba 14, 2026 (3 Hijri 1448).
Wawili hao walitiwa hatiani kwa kufanya kitendo kinachokiuka maadili ndani ya...
Hawa vijana wahalifu waliokuwa wanafanya uhalifu Kinshasa na miji mwingine ya DRC wamenyongwa hadharani: kunyongwa maana yake kuning'inizwa kwa kwamba.
Well,ndio habari yenyewe. Walikuwa wanafanya uhalifu kwa kutumia visu,mapanga,bisbis.
Of course kule DRC hawaitwi "Panya Road"
Kule wanaitwa...
Mohammad Mahdi Karami na Seyed Mohammad Hosseini walihukumiwa kunyongwa wakakata rufaa wakidai wakiteswa na kulazimishwa kukiri makosa.
Baada ya tukio hilo, hukumu za walionyongwa kutokana na kushiriki maandamano sasa imefika watu wanne. Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty...
Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran.
Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa watu hao wanne walikuwa sehemu ya mtandao wa kijasusi ambao ulikuwa ukishirikiana na shirika ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.