Leo hii, kwa mara ya 31, ni kipindi ambacho nchi ya Rwanda inakumbuka mauaji dhidi ya watutsi nchini humo, yaliyofanyika rasmi mwaka 1994, April 7. Mauaji haya, kwa wengi wanayahusisha na kudunguliwa kwa ndege iliyokuwa imebeba rais wa Rwanda wa kipindi hicho, Juvenal Habyarimana, na mwenzake wa...