Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION...