wanawake wa vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mradi wa kuku kati ya China na Misri wawawezesha wanawake wa vijijini wa Misri kuongeza mapato yao

    "Hata siamini kiasi cha pesa nilizopata kwa siku 45 tu," alisema Mahasen Mohamed, mama wa watoto watatu, katika kongamano lililofanyika hivi karibuni jijini Cairo kujadili maendeleo ya vijijini nchini Misri kwa kutumia uzoefu wa China. Katika siku 45, Bi. Mahasen, mnufaika wa mradi wa...
  2. Fbn

    Sehemu inayoitwa mji au jiji usipeleke mwanamke uliyemtoa kijijini

    Ukipita vijijini ndani ndani mikoani kuna wanawake wazuri sana. Ila shida ya miji au jiji wengi kujisumbua kutafuta mwanamke ni wavivu ndio maana wengi uwangusha vilio wanapofika nao mijini. Kuna mikoa ina wanawake wazuri sana ila kama unataka kuoa fanya habaki huko huko kijijini sababu pia...
  3. Lady Whistledown

    PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
  4. Mtoa Taarifa

    Oktoba 15: Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini

    Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini huadhimishwa Oktoba 15 kila mwaka ikilenga kutambua jukumu na mchango muhimu wa Wanawake wa Vijijini katika kuimarisha Maendeleo ya Kilimo, Kuboresha Usalama wa Chakula na Kutokomeza Umaskini Vijijini The UN General Assembly (UNGA) established the...
Back
Top Bottom