Kwanza alianza mwamba kabisa Baltazar Egonga, sasa hivi kuna huyu mwamba anaitwa Jonasi wa kwenye show ya "The Polygamist" yaani huyu ndio kapiga msumari wa mwisho
Wanawake kwa sasa wanatuogopa sana sisi wanaume ambao ni nadhifu, corporate men, wenye vipara, wanajua sisi ni vitombi sana kumbe...
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.