Unadhani ni kwanini viongozi hao wa vyama vya siasa na wafuasi wao waliopoteza uelekeo wa kisiasa na kukosa hoja wamekua na mihemko na hasira kupindukia.?
Yaani kwao hakuna jema kabisa, yote ni mabaya tu. Na wanaona kila kitu kinachofanyika nchini ni kiro kwao. Wamejawa chuki isiyo na sababu na...
Tumeshuhudia kesi nyingi kabla hata ya Lissu za uhaini kwa wanasiasa wa upinzani pekee, mwisho wa siku kunakuwa kumbe hakuna kesi yoyote wala hatuoni chochote
Jambo hili limekuwa kama mchezo wa mdhaa
Ni wazi kabisa kuwa kuna wimbi kubwa la rushwa nchini hasa kwa jeshi la polisi
Kutoka nchini Msumbiji inaelezwa kuwa watu waliokuwa na bunduki wamempiga risasi na kumuua mwanasiasa wa upinzani nchini humo Elvino Dias
Taarifa iliyotolewa na chama chake cha PODEMOS imeeleza kuwa Elvino Dias, wakili wake na mshauri wa mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya chama cha...
WAPINZANI MNAPORUDI CCM NI LAZIMA MFAHAMU CCM INAONGOZWA KWA SHERIA, KANUNI MIONGOZO NA TARATIBU ZINGINE.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 07 ibara 12(1) kisha tukasome uk 151 kifungu cha 01 na cha 08
Niliwahi kusoma Gazeti la TAZAMA la Tarehe 7 -13/01/2020 uk 05 liliandika, Wakati huo...
Kwanini wanasiasa wa Upinzani wa Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM- KUNANI?
Wakati nipo chuo kikuu, Prof Wangu alituambia siku moja darasani kwamba- "ukitaka uishinde njaa usimuhadithie mwezio kama unanjaa kwani anaweza kukuhadithia yeye kala vyakula vizuri ambapo wewe utashindwa kuiviapa"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.