wanasiasa wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanasiasa wa CCM ndio wamiliki wakubwa wa migodi nchini, Kwa nini wanapiga kelele za Mabeberu

    Kwa taarifa yenu ni kuwa sehemu kubwa ya Madini nchini yako mikononi mwa Makada wa CCM. Ndiyo maana tunataka katiba mpya, tume ya maadili na mali za viongozi haifanyi kazi
  2. Allen Kilewella

    GE2025 Kwanini wanasiasa wa CCM huimiza kujiajiri wakati wao hawataki kujiari?

    Bila ya kujali Elimu zao au umri wao, wanasiasa wa CCM wamejazana huko kwenye kugombea nafasi za udiwani na ubunge. Hawahawa wakichaguliwa ama wasipochaguliwa na kupewa madaraka mengine ya kisiasa, utawasikia wakihimiza vijana kujiajiri. Imekuwaje wao wanajazana kwenye siasa wakiwa na watoto...
  3. Zanzibar-ASP

    PreGE2025 Mwezi wa Ramadhan umegeuzwa kuwa mtaji wa wanasiasa wa CCM, hongo ya kufuturisha imevuka mipaka sasa

    Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele. Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
  4. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Kampeni za mtaa kwa mtaa kwa baadhi ya wanasiasa wa CCM mtaa wa Dovya kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu Kwema! Leo nimekutana na moja ya mwanasiasa kutokea chama cha Mapinduzi ( CCM ) akijipigia kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Tunafahamu kwamba CCM wametangaza ratiba za wanachama wao kuanza kuchukua fomu kuzijaza na kurududisha na kuanza kampeni za ndani na ndipo...
  5. Victor Mlaki

    Siasa za kuropoka chini ya kivuli cha CCM: Serikali kupata maswali magumu

    Kumekuwa na tabia ya ajabu sana miaka ya hivi karibuni, yaani mtu akiwa tu na nafasi na kupewa "microphone" anajiona kama sijui yupo chini ya mwamvuli gani, wanajisahau kuwa CCM inawajibika kwa wananchi na badala yake wanawaona wananchi kama watumishi wa CCM. Kila taasisi, chama, kikundi au...
Back
Top Bottom